TAARIFA YA NDOA kwa wana Chit-chat wote

TAARIFA YA NDOA kwa wana Chit-chat wote

na wewe kwanini umenikimbia wakati tulikuwa na makubalino mazuri kabisa....ulipotelea wapi.
Halafu sare kitu gani bana wakati watu wameshaacha shona humu ndani?.

Samahani mkuu, unamfahamu kaka Paw !??? nauliza tu
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu slave hujambo? Nshamkaribisha my wifi katika familia yetu
 
Mdogo wangu slave hujambo? Nshamkaribisha my wifi katika familia yetu

asante dada mwenzio nilipatwa na mawazo maana tangu jana mlipo mpeleka salon kufanya makeup mpaka leo sijamuona hivyo nikadhani mmekumbana na dhoruba.
 
Hii ndoa ina mapungufu mengi sana hata kabla ya kupitishwa!
Kwanza ilitakiwa kuwe na consent kutoka pande mbili lakini namuona peke yake!

Kuna uwezekano ana lazimisha ndoa! Kinyume na hapo tutahitaji sahahi ya partner wake na mashahidi wawili!

Nakusoma Ruttashobolwa , naona kamati ya sheria iko kazini
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Paw ndie mmiliki? Au mwizi,?

usilitaje bura jina la bwana Pou maana hujui siku wala saa atakayo kuja kukunyakua kutoka seva za JF.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom