Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,657
Wadau wana chit chat,mapema leo nilitangaza kutafutamchumba hapa jamvini. Yamekuja mapendekezo mengi na ushauri mwingi. Baada ya kupitia mapendekezo kwa makini na kuyafanyia kazi nimefikia uamuzi juu ya binti Evelynsalt .napenda kutangaza nia yangu hadharani kwenu wanajamvi mlifahamu hilo.nimeshapeleka suala hili kwenye kamati ya screeningnasubiri majibu yao na baraka za Mwenyekiti Baba V ili mipango kamambe ya ndoa ianze. Wadau jiandaeni kila mmoja kushika kitengo kwenye kamati mbalimbali za harusi. WENYE WIVU WAJINYONGE
Nawasilisha.
C.c Baba V Mamndenyi The Boss Ruhazwe JR pia lawyers Ruttashobolwa Kipipi
Nawasilisha.
C.c Baba V Mamndenyi The Boss Ruhazwe JR pia lawyers Ruttashobolwa Kipipi
Last edited by a moderator: