Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Ungejua alipo....
Ila bora usijue maana utachizika bure..
Aende wapi muda huu??
Heheee km kunatana ingekuwa inakaribishika ningekukaribisha ila kwa hapa keep kimya
Ungejua alipo....
Ila bora usijue maana utachizika bure..
Umekua secretary wake?
Mi mbona sina haja ya hayo mautamuuu, just a friend.
Mi mbona sina haja ya hayo mautamuuu, just a friend.
Yaaani huyu jamaa amekuwa msumbufu sana...upo wapi mie nije sasa hivi kukuchukua.
Maneno mengi ya nini, toa venyuuu ya shughuli tuanze kutafuna bablish kutengeneza njaa...
Hatudanganyikiii
Ungejua alipo....
Ila bora usijue maana utachizika bure..
Hatudanganyikiii
Hahahaha. Umemuweza lolUnadhani mi nina shida basi,
We endelea tu na uongo wako. . . . .
Mzoee huyu mchonganishi....hajui kama sie ni marafiki damu damu....
Hahahaha. Umemuweza lol