TAARIFA YA NDOA kwa wana Chit-chat wote

TAARIFA YA NDOA kwa wana Chit-chat wote

hehehe. Mke mwee afu asubuhi tuongee basi ukitoka church, nna boonge la umbea! Inabidi tukaongelee bagamoyo ama kamanzichana, manake ikisikika twafa!
Hehehehe, nachagua bagamoyo lol.
 
ulikuwa ukuje kuchoma! Uje kula kwani nna mgahawa mie, koma kabisa! Adhabu yako kesho uje kuchoma mbuzi.
Sasa vile mke mwee sweetlady yupo hapa unaonaje tukaenda kukuchuna kidogo? Ila hamna kumtongoa tena, si wajua mtalaka hatongozwi?

Kesho nakuja na mbuzi twachinja hapo hapo....sasa badala ya wewe kuhakikisha naenda kupasha kiporo na ex wangu na wewe wataka uwepo pia..
 
Last edited by a moderator:
Hebu rudia jina lake nahisi km sijalielewa vile...!
Ukishindwa twende zetu kulee kwa wazee tukatete Slave
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom