Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Hebu ngoja nikamsake kulee jukwaa la chini!!!
Lile jukwaa Evelyn Salt analipenda lilinishinda...huwa napata kizunguzungu..
Last edited by a moderator:
Hebu ngoja nikamsake kulee jukwaa la chini!!!
Lile jukwaa Evelyn Salt analipenda lilinishinda...huwa napata kizunguzungu..
Lile jukwaa Evelyn Salt analipenda lilinishinda...huwa napata kizunguzungu..
aisee wahi kabisa,naweza kuzimika kwa presha .
Atakua anasoma inglish kozi ya yale mambo yetu nini!?
Hayupo... sijui kenda church... nimeacha ujumbe mlangoni kwake!!
Yan yule ni km host wa kule.... saiv nimemcheck sijamuona may b kenda church!!!
Inawezekana ndio maana hapa kati jitihada zake zimekuwa kubwa sana......kitchen party ya online hii...
uwiii charminglady nahisi kidhungu dhungu thatha thijui wakola washaniibia? Aitheeee inauma !
asante dada mwenzio nilipatwa na mawazo maana tangu jana mlipo mpeleka salon kufanya makeup mpaka leo sijamuona hivyo nikadhani mmekumbana na dhoruba.
Haf evel mbona haelewek,mwenyewe nimepiga sound akajaa..mmmh
Tuko mill 44.9
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
alisema nimuache alone afikirie kama ni uamuzi sahihi aliofanya