Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
wewe. Upo?
Wewe tena?
Usijali mwaya
Nshakusamehe kabla hujasema.
Hiyo ndoa itakuwa ya kimila, kidini, kiserikali au mnaifunga kwa mujibu wa ndoa za kigeni?
Tafadhali hakikisha unafuata taratibu zote kwa kila kamati husika baadaye chamber ya malawyer tutathibitisha ili kuweza kuwapatia usajiri halali wa ndoa yenu!
Ruttashobolwa au unaonaje mheshimiwa?
Hivi kwanini wapenda kumpa presha Mamndenyi wangu....
pili anayeoa hajui jina la mtarajiwa wakeHii ndoa ina mapungufu mengi sana hata kabla ya kupitishwa!
Kwanza ilitakiwa kuwe na consent kutoka pande mbili lakini namuona peke yake!
Mimi tena??
Mi nakopi tu wala sitii neno Vin Diesel
Bado anaumwa ila leo sahizi ana nafuu sana, labda kwavile ameianza siku mpya lol. Hivi sa6 si tumeanza siku mpya eeh.Asante.
Vip yule mgonjwa kaacha kuumwa?
Bado anaumwa ila leo sahizi ana nafuu sana, labda kwavile ameianza siku mpya lol. Hivi sa6 si tumeanza siku mpya eeh.
Bado anaumwa ila leo sahizi ana nafuu sana, labda kwavile ameianza siku mpya lol. Hivi sa6 si tumeanza siku mpya eeh.
Mlinzi wa usiku huyo, halalagi.
Hehehe, hizi tarehe wala hazifai kukumbukwa lol.Eeeeh tumeianza tayari....!
Ila sijui trh ngapi lol
Mpe get well soon yangu eeeh