Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Ananijua vizuri sana kuwa mimi ni mtu saaafi.
Naomba umtafutie dawa huyu mtu tafadhali...
Ananijua vizuri sana kuwa mimi ni mtu saaafi.
Sijui ananitafuta nini huyo x wako aisee.
BTW, mzima swahiba?
Hapi nyu yia!
Marahaba mpendwa wangu.
Hujambo?
Silali hadi Kipipi wangu akuje
Naomba umtafutie dawa huyu mtu tafadhali...
Ha ha ha haa .Ni upepo tu.
Muulize kwanini alinikimbia wakati ndoa ilikuwa bado mbichi kabisa...
Sijambo kiasi....I miss my wife bana..
Hayo yanafaa kuulizwa mbele ya baraza!
Then go for her!
Acha nipumzike na kesho nishughulikie ndoa yangu....I hope Mamndenyi won't break my heart as your swahiba did...
Ukichelewa tunampeleka amboni kwa mizimu lolHa ha ha....huu upepo na upite haraka...
Ukichelewa tunampeleka amboni kwa mizimu lol
Sio mbaya kama ukijipa matumaini!
Night Good.
Kuna haja ya kuufanya upepo huu upite haraka....naomba nikutakie usiku mwema my dear...your company is....ngoja nisimalizie maana kuna wazee wa kukopi..see u kesho
Nipo sana ila nashangaa hunioni
ohooo! Usituharibie pozi shemeji shemeji. Wenzio tushanunuliwa sare beauty point. Bado viatu tu! Imekula kwako, forever unyamaze!