Thanx PJ endelea kutupa taarifa na pia utatwambia ni jinsi gani tuweza kumfariji Mwenzetu!UPDATE 1:
Confirmed Freetown ataondoka leo huko ughaibuni mwendo wa saa 6 usiku ambapo itakuwa ni saa 10.za alfajiri kwa huko anakoishi, na anatarajiwa kuwasili JNIA mwendo wa saa 7.00mchana kwa ndege ya shirika la QATAR AIRWAYS.
.
Bingwa wetu Derimto,
Ni suggestion yenye akili, na Sahara anatangulia huko leo, then akifanya assesment tutaibuka na kauli ya kiume.
Pamoja mkuu.
Oooooh! My! Duh! Mkuu pole sana. Ngoja tufanye mchakato.
UPDATE 3:
Mazishi ya shemeji yetu yatafanyika huko Njombe-IRINGA, ambako ndiko nyumbani kwao Ftown, na hata shemeji ye2 pia.
Uwezekano wa kuanza safari huku Arusha kuelekea makazi ya kudumu ya marehemu ni siku ya Jumamosi, au juma2.
aksante mkuu.
Kwa mulio Dar, kama si shida ya foleni mnge'rush fasta pale JNIA kesho saa 7 MCHANA, then mngekaa nae hadi saa 11jioni akiwa anajiandaa kuondoka na PW ya saa 12 jion kuja KIA. @
Kama kuna watakaokuwa interested tutawapa namba yake ya cmu.