Taarifa ya Msiba...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa ya Msiba...!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by PakaJimmy, Feb 9, 2011.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wakuu,

  Nimetaarifiwa sasa hivi kwamba mke wa member mwenzetu Freetown ameaga dunia mchana huu saa7.30 kwenye hospitali ya KCMC-Moshi.

  Freetown ni member 'legend' hapa majukwaani, na kwa wale waliofika Arusha mwaka jana (27/12/2010) tulipoenda safari ya Tarangire wanapata hisia zaidi juu ya kuondokewa na mkewe kwa huyu member mwenzetu, maana tulikuwa pamoja nae bega kwa bega, na alisafiri na wanae, mabinti wawili.

  Mipango ya Mazishi bado haijawekwa wazi, na zaidi inasubiri kuwasili kwa Freetown mwenyewe toka Ughaibuni anakomtumikia mkoloni, na kwa taarifa nilizopewa ni kwamba anatarajiwa kuondoka huko leo usiku, na atawasili kesho alasiri, Mungu akipenda.

  Tutajuzana zaidi kinachoendelea, kwa sasa tunachoweza kusema ni kwamba Mungu ailaze pema roho ya Marehemu mke wa Freetown.
  Amen.

  UPDATE 1:
  FreeTown ameondoka usiku wa saa 7.30 mahala anapoishi kuelekea DOHA-QATAR,ambako likuwa aondoke saa 10.00usiku waleo(11/2/2011), lakini bahati mbaya flight aliyoondoka
  nayo anakoishi imechelewa kwa masaa mawili, hivyo hakuweza kuunganisha connection ya QATAR-AIRWAYS usiku wa leo, NA HIVYO ATALAZIMIKA KULALA HAPO QATAR na leo usiku ndipo atasafiri kwa shirika hilohilo na atafika Dar-JNIA kesho(Ijumaa) saa 7.mchana, na atakuwepo uwanjani hadi saa 12.00jioni, ambapo ndio atapanda Precision Air kuja KIA.

  UPDATE 2:
  Mulioko Dar mna nafasi kubwa ya kuonana na FT hapo JNIA kesho, maana atakuwepo hapo kwa more than 4 hrs kabla ya kuja Arusha, hivyo kwa watakaopenda kumtafuta tutawapa contact yake mumpate kirahisi.

  UPDATE 3:
  Marehemu Mrs FT atasafirishwa siku kati ya Jmosi au J'pili kutoka Arusha kuelekea Njombe Iringa, ambako ndiko Domicile Place ya couple hii...

  UPDATE 4:
  Kesho JUMAMOSI kuanzia saa 3.oo asubuhi IBADA RASMI ya kumwaga marehemu mrs FT itaanza pale nyumbani kwake UsaRiver....NA BAADA ya IBADA hiyo, safari rasmi itaanza saa 7.00 kuelekea IRINGA kwaajili ya kumpumzisha marehemu...na msafafara utawasili huko Jumapili Alfajiri.

  Mazishi yatafanyika JUMAPILI,(hakuna kizuizi kwa mujibu wa madhehebu ya Kiluther),na gari iliyopeleka mwili wa marehemu itageuza siku hiyohiyo ya Jumapili jioni!

  UPDATE 5:(12/2/2011...d-day)
  Kwa kiasi kikubwa ratiba imezingatiwa.
  Mwili uliletwa jana toka KCMC, na ukalala nyumbani kwa FT.
  Leo kazi kubwa ilikuwa ni organization tu ya taratibu na jinsi ya kukamilisha heshima kwa shemeji yetu.
  Katika ratiba iliyoandaliwa hapo nyumbani, kulikuwa na nafasi ya mwakilishi wa JF kutoa neno, ambapo tumemteua member mmoja aliyetoa SALAMU na hisia zetu kama JF-(Globally).


  Msafara umeondoka saa 5.20 asubuhi nyumbani kwa FT, kuelekea pande za Iringa...na ka mujibu wa mawasiliano tight tunayoestablish nao, ni kwamba mambo yanaenda vizuri, na wameshafika Moro.

  UPDATE 6:
  muda wa saa 12:41 asubuhi hii nimewasiliana na S'Voice akanambia wako junction ya Makambako, na wanapata chai kabisa ili wakifika huko kijijini iwe nishughuli moja tu ya mazishi...

  Msafara mwingine wa wanajf ukiongozwa na Maty na FirsLady umeshatangulia mbele, na anakaribia kufika eneo la tukio sasa!
  Mikitaboloki Engai Engoitoi(muende salama na Mungu awatangulie)  UPDATE 7 AND FINAL:
  Jeneza limeshushwa kaburini mnamo saa 6.30 za mchana, na hivyo kuhitimisha rasmi shughuli na machungu yaliyoandamana na tukio hili lisilo na huruma.

  JINA LA BWANA LIBARIKIWE

   
 2. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,276
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Rip
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mungu ampe nguvu na uvumilivu ndugu yetu

  R.I.P Shemeji
   
 5. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,506
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  R.I.P. Innalillahi waina Ilaihi rajiuna
   
 6. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  R.I.P

  Namwomba Mwenyezi Mungu ampe Freetown pamoja na wanawe nguvu na uvumulivu wakati huu wa majonzi
   
 7. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 848
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Bwana alitoa na sasa Bwana ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe!
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Pole Sana Freetown

  RIP Shemeji
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  rip
   
 10. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Poleni Mungu atawafariji familia hiyo!
   
 11. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tuliyoko Arusha tupewe taarifa zaidi ili tuweze fika msibani kutoa pole zetu.

  Pole sana
   
 12. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe
   
 13. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  r.i.p shemeji!
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,258
  Likes Received: 21,960
  Trophy Points: 280
  Kuna haja mods wakatuwekea kitufe cha pole ili tukigonge hicho kuonyesha rambirambi zetu
   
 15. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Yaa, Inasikitisha lakini ndiyo Maisha na sote tunaelekea huko.
  Msiba utakuwa USA River nyumbani kwa Freetown. kwa yeyote atakayekuwa na nafasi ya kwenda huko, anaweza wasiliana na PJ au Saharavoice (0715354750)

  RIP
   
 16. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,980
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Jamani PJ mpeni pole saana Ndg yetu Freetown. Ajitie nguvu maana yote yanapangwa na Muumba wetu. Shukuru kwa kila jambo liwe baya shukuru liwe zuri shukuru pia. Mwenye uwezo na nguvu na mamlaka ni Mungu wetu.POLE SAANA, BWN AKUTIE NGUVU YA UVUMILIVU!!!!!!!!!
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  pole sana wafiwa... RIP MRS. KAMANDA
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Taarifa zote zitakuwa hadharani, na hata muda huu kuna member ambae anakaribia kufika nyumbmi kwao marehemu ili atupe kwa ufupi yanayojiri huko, ikiwa ni pamoja na mipango ya mazishi.
   
 19. c

  collezione JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  r.i.p
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mungu akupe nguvu wakati huu mgumu kwako Feetown
  na
  Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
  AMENI
   
Loading...