Taarifa ya Msiba...!

Taarifa ya Msiba...!

Ooooh!
Too bad!...na inasikitisha!
Basi wewe una kumbukumbu mpya zaidi ya huyu mana, na yapasa umwombee ili akapumzike mahala pa salama!

Bro nadhani itakuwa vizuri sisi member wa Arusha tukajipanga siku hiyo tukaondoka wote kuelekea Usa River.
 
Pole sana Freetown
Mwenyezi Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu. Amen

Mwanangu
 
Update;
Ni kwamba bahati mbaya Freetown hakupata ndege ya asubuhi kutoka doha to Dar. badala yake amepata ndege ya saa tano ambayo inafika Dar saa kumi na moja jioni. Saa kumi na mbili ataunganisha Precision to KIA. Wale wa Arusha we can join kumpokea saa moja na nusu usiku. Jumamosi kutakuwa na final respect pale nyumbani kwake kuanzia saa sita mchana (mabadiliko yoyote tutataarifiana) kabla ya kusafirisha mwili wa marehemu kuelekea Njombe - Iringa kwa Mazishi. Nadhani Kimey utakuwa mwenyeji wetu huko Iringa.
 
Bro nadhani itakuwa vizuri sisi member wa Arusha tukajipanga siku hiyo tukaondoka wote kuelekea Usa River.
Msindima usiogope tutaweka hadharani mambo yote, na tutashiriki kwa hadhi inayopasa. We kumbuka kuacha simu hewani-basi!
 
Update;
Ni kwamba bahati mbaya Freetown hakupata ndege ya asubuhi kutoka doha to Dar. badala yake amepata ndege ya saa tano ambayo inafika Dar saa kumi na moja jioni. Saa kumi na mbili ataunganisha Precision to KIA. Wale wa Arusha we can join kumpokea saa moja na nusu usiku. Jumamosi kutakuwa na final respect pale nyumbani kwake kuanzia saa sita mchana (mabadiliko yoyote tutataarifiana) kabla ya kusafirisha mwili wa marehemu kuelekea Njombe - Iringa kwa Mazishi. Nadhani Kimey utakuwa mwenyeji wetu huko Iringa.
Tupo pamoja kamanda! R.I.P shem!!
 
mungu akupe rehema na nguvu katika kipindi hiki kigumu na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
 
Update;
Ni kwamba bahati mbaya Freetown hakupata ndege ya asubuhi kutoka doha to Dar. badala yake amepata ndege ya saa tano ambayo inafika Dar saa kumi na moja jioni. Saa kumi na mbili ataunganisha Precision to KIA. Wale wa Arusha we can join kumpokea saa moja na nusu usiku. Jumamosi kutakuwa na final respect pale nyumbani kwake kuanzia saa sita mchana (mabadiliko yoyote tutataarifiana) kabla ya kusafirisha mwili wa marehemu kuelekea Njombe - Iringa kwa Mazishi. Nadhani Kimey utakuwa mwenyeji wetu huko Iringa.
Sahara, information hii ni muhimu sana, na ni update ya muhimu.
Nadhani sasa hii ndiyo itafuatwa.
 
Wakuu,
Kuna taarifa muhimu..
Ni kwwamba Mkuu FT ameshawasili nyumbani kwake UsaRiver Arusha kama dakika 8 zilizopita, yaani saa saa mbili na robo usiku huu..
Tutawajulisha kinachoendelea.
 
Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu sana.Poleni wafiwa wote
 
"mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi" my condolences Freetown and thanks PJ for update
 
Poleni sana, FT Mungu afanyike faraja kwa familia yako ktk kipindi hiki kigumu, tunakuombea. Mungu ailaze pema roho ya marehemu AMINA
 
Wakuu wote
Updates mpya kabisa za shughuli hii zimetolewa leo katika kipengele namba 4 cha original post pale juu...
Naomba tuipitie update hiyo, ili watakaokuwa interested, hasa wa maeneo ya huku Arusha wajipange kuenda huko kuaga!
 
UPDATE 1:
FreeTown ameondoka usiku wa saa 7.30 mahala anapoishi kuelekea DOHA-QATAR,ambako likuwa aondoke saa 10.00usiku waleo(11/2/2011), lakini bahati mbaya flight aliyoondoka
nayo anakoishi imechelewa kwa masaa mawili, hivyo hakuweza kuunganisha connection ya QATAR-AIRWAYS usiku wa leo, NA HIVYO ATALAZIMIKA KULALA HAPO QATAR na leo usiku ndipo atasafiri kwa shirika hilohilo na atafika Dar-JNIA kesho(Ijumaa) saa 7.mchana, na atakuwepo uwanjani hadi saa 12.00jioni, ambapo ndio atapanda Precision Air kuja KIA.

UPDATE 2:
Mulioko Dar mna nafasi kubwa ya kuonana na FT hapo JNIA kesho, maana atakuwepo hapo kwa more than 4 hrs kabla ya kuja Arusha, hivyo kwa watakaopenda kumtafuta tutawapa contact yake mumpate kirahisi.

UPDATE 3:
Marehemu Mrs FT atasafirishwa siku kati ya Jmosi au J'pili kutoka Arusha kuelekea Njombe Iringa, ambako ndiko Domicile Place ya couple hii...

UPDATE 4:
Kesho JUMAMOSI kuanzia saa 3.oo asubuhi IBADA RASMI ya kumwaga marehemu mrs FT itaanza pale nyumbani kwake UsaRiver....NA BAADA ya IBADA hiyo, safari rasmi itaanza saa 7.00 kuelekea IRINGA kwaajili ya kumpumzisha marehemu...na msafafara utawasili huko Jumapili Alfajiri.

Mazishi yatafanyika JUMAPILI,(hakuna kizuizi kwa mujibu wa madhehebu ya Kiluther),na gari iliyopeleka mwili wa marehemu itageuza siku hiyohiyo ya Jumapili jioni!

The best update ever read in JF.....kudos.....

RIP mama FT
 
Back
Top Bottom