Taarifa ya Msiba...!

Taarifa ya Msiba...!

Pumziko la milele upewe wewe shemeji yangu...
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen!
 
Mmh! Poleni sana wafiwa,
Mungu awape faraja.
 
Pole sana, raha ya milele umpe Ee Bwana, na mwanga wa milele umwangazie, astarehe kwa amani amina.
 
Pole sana kaka Freetown. Mungu yupo nawe kukufariji
 
Pole mkuu Freetown....Mungu akupe nguvu ya kukabiliana na magumu haya....RIP marehemu.
*Asante PJ kwa taarifa
 
Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya Mrs kamanda.... Ameni
Tupo pamoja katika wakati huu wa majonzi...!!!
 
Duniani sisi wapitaji kila mtu njia yake hiyo tatizo ni pale tunapoachwa wapweke ila Mungu mwenye viumbe vyote aitunze familia na kuifariji wakati wote wa majonzi.

NB: PJ. Kama hutajali tunaweza kujipanga pamoja ili twende tuweke joto kama ilivyo desturi ya wanajamii wapendao siku zote kwenye misiba na raha pia
 
Ahsante kwa kujuza hii taarifa ya kusikitisha. Pole san kwa freetown na RIP kwa marehemu
 
NB: PJ. Kama hutajali tunaweza kujipanga pamoja ili twende tuweke joto kama ilivyo desturi ya wanajamii wapendao siku zote kwenye misiba na raha pia
.
Bingwa wetu Derimto,

Ni suggestion yenye akili, na Sahara anatangulia huko leo, then akifanya assesment tutaibuka na kauli ya kiume.
Pamoja mkuu.
 
Back
Top Bottom