tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,672
- 19,187
Mtu kajaa damu za watu wasio n hatia nae anapewa pole,ccm kumejaa wanafikiMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Philip Isdory Mpango amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa Diwani Athumani Msuya na kumpa pole kufuatia kifo cha Kakaye aitwaye Bisward Msuya kilichotokea Agosti 03, 2021
View attachment 1879986