Hivi ni sahihi mke kuvalia nguo na kuweka vitu chumbani kwa wadogo zako?

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,330
4,855
{Mods naomben mnisahishie hapo kwenye heding badala ya zako weken zake} aya twende kwenye mada: Yaan ile umejenga nyumba wewe mwanaume umeoa na umeruhusu kukaa na shemeji zako baada ya muda mrefu mke anaanza tabia ya kuhamisha vitu vyake chumbani kwenu na kuvipeleka chumbani kwa wadogo zake na anapoenda kazini asubuh akioga anavalia chumba cha wadogo na akirudi vitu anaacha hukohuko, mfano ndio wewe ni mkeo anafanya hayo unachukua uamuzi gani? Au itakuwa ni sahihi kwako
 
Mwambie ahamie huko huko....
 
Ashakushinda. Kama unakuja kusemelea huku. Weka namba yake ya simu tumuonye.
 
{Mods naomben mnisahishie hapo kwenye heding badala ya zako weken zake} aya twende kwenye mada: Yaan ile umejenga nyumba wewe mwanaume umeoa na umeruhusu kukaa na shemeji zako baada ya muda mrefu mke anaanza tabia ya kuhamisha vitu vyake chumbani kwenu na kuvipeleka chumbani kwa wadogo zake na anapoenda kazini asubuh akioga anavalia chumba cha wadogo na akirudi vitu anaacha hukohuko, mfano ndio wewe ni mkeo anafanya hayo unachukua uamuzi gani? Au itakuwa ni sahihi kwako
Ndoa hizi, sijui zimekumbwa na jinamizi gani siku hizi?? Kila siku matatizo mapya yanaibuka kwa wanandoa.
 
Attachments

  • ‎@✨supersalon_Roysambu✨‎20221123‎_Phoenix.mp4
    5.3 MB
Malalamiko ya wanaume yamekuwa ni mengi sana kuliko ke
eeh bhana eeh huu ni wakati wa utandawazi acha wautumie vyema, dhaman ilikuwa wakati wa kuita mshenga au wazee wasuluhishe bas ikifika kwenye kikao kila mambo mnayofanyiana na mkeo au mume yataanikwa pale, hanipi, hanihudumii, saiv mabadiliko ya teknolojia hupati taabu kuita watu unaingia tu mtandaon anaeleza shida zako unapata taarifa kwa kina ndipo unafanya maamuzi,, baada ya kusema haya sasa piga piga kifua sema nimepitwa na wakatii... Aya usije ukauliza tena kwanini wakat nimekupa jibu
 
Sasa unashindwa kumuweka Chini Mkeo umuulize, unakuja kuuliza JF.....!

Kukiwa na changamoto kwenye Ndoa, na Wahusika wanatafuta Ufumbuzi nje ya Ndoa yao....! Hiyo Ndoa ni tia maji tia maji.
tupo kwenye zama za digitali sio za anolojia
 
{Mods naomben mnisahishie hapo kwenye heding badala ya zako weken zake} aya twende kwenye mada: Yaan ile umejenga nyumba wewe mwanaume umeoa na umeruhusu kukaa na shemeji zako baada ya muda mrefu mke anaanza tabia ya kuhamisha vitu vyake chumbani kwenu na kuvipeleka chumbani kwa wadogo zake na anapoenda kazini asubuh akioga anavalia chumba cha wadogo na akirudi vitu anaacha hukohuko, mfano ndio wewe ni mkeo anafanya hayo unachukua uamuzi gani? Au itakuwa ni sahihi kwako
hebu muwekee dressing table yenye mahitaji ya mwanamke na utakua umetibu hiyo shida 🐒

kule anafata lipstick 💄 and shines za rangi anazopenda coz wadogo zake wanazo kama zote wamenunuliwa na ma boyfriend zao, mafuta mazuri ya kupaka, pafyumu zinazonukia vizuri, kurekebishwa nywele na saa zingine ana vaa ata nguo na viatu vya kisasa za wadogo zake kwasabb labda umekosa kumuwezesha nae awe nazo....
Lakini pia zile nguo zake anaziacha kule wadogo zake wanamsaidia wanamfulia 🐒

so,
My friend,
rekebisha hiyo tu, hutamuona tena huko kwa wadogo zake. Mambo mengine haitaki maneno ni vitendo kidogo tu 🐒
 
{Mods naomben mnisahishie hapo kwenye heding badala ya zako weken zake} aya twende kwenye mada: Yaan ile umejenga nyumba wewe mwanaume umeoa na umeruhusu kukaa na shemeji zako baada ya muda mrefu mke anaanza tabia ya kuhamisha vitu vyake chumbani kwenu na kuvipeleka chumbani kwa wadogo zake na anapoenda kazini asubuh akioga anavalia chumba cha wadogo na akirudi vitu anaacha hukohuko, mfano ndio wewe ni mkeo anafanya hayo unachukua uamuzi gani? Au itakuwa ni sahihi kwako
sio sawa,mfundishe tu huwezi kujua utamaduni wake huko alikotoka
 
Back
Top Bottom