Syria watungua ndege ya Israel

Syria watungua ndege ya Israel

Maneno sijayatunga. Ingia cnn, bbc au vyombo vingine usikilize au usome. Myahudi anasema kwa miaka 30 ilikuwa haijaishambulia syria kama walivyofanya jana na wamesema wataendelea na mashambulizi. Soma au sikiliza vyombo vya habari.

Israel says it then carried out a second wave of strikes on both Syrian and Iranian military targets.

The Israeli military said it had inflicted huge damage on targets in Syria in the "most significant attack" of its kind against the country since the 1982 Lebanon war.

source BBC
 
Hahaa. Safi sana Syria. Umedungua ndege ambayo ilikuwa inasifika saaana. Waendelee kuuzidungua
 
Jamanii eeehhe wajerumani walionekana ni wauaji wakubwa walipojaribu kuusafisha ulimwengu na hawa jamaa wenye fitna hapa duniani leo tunashuhudia jinsi wanavyoitawala dunia kwa fitna zao na vita yote duniani hapo ni lazima hawa jamaa wamo kwa namna moja au nyingine. Jamani hawa waYahudi hasa wala Mazayuni si watu wazuri kabisa ni bora yule jamaa angewamaliza tuuu
Adolf. Aliwaacha kwa ajili ya kutuonesha mfano wa hawa watu kuwa sio watu wazuri katika hii dunia. Tena katika hutuba zake alisema tutakuja kusema kwanini hakuwamaliza?
 
Marekani na Korea waswahili sana mkuu waache waendelee kupeana mipasho! Ila hawa Israel na Syria kama wakurya hawachelewi kuzichapa
Aise mko nyuma sana ni Iran vs Israel na sio Syria ...hapo mchezo ni Iran na Israel

Inabidi waiheshimu serikali ya Assad ..wanafanya maujinga yao ndan ya Syria
 
Taarifa zisizo rasmi zinasema syria walitumia makombora 10 ya ulinzi wa anga,kudungua ndege 2 za F-16 na helcopter moja,Apache na makombora 5 ya israel.
Taarifa kutoka source ndani ya israel defence zinasema israel is in disarray,sijui kudisarray no nini au wamepanick au kuchachawa sijui,

wanadai Russia imewazunguka na kuplot na syria na iran,kuiangusha ndege yao
S400 zimeanza kufanya kazi.
 
Habari zinasema israel imeshambulia target 12 ndani ya syria,akitarget majeshi ya iran,watakua wana maanisha hezbollah,
uwanja wa ndege wa israel Ben gurion umefungwa kwa kuhofia mashambulizi ya makombora toka syria,
Netanyau yuko IDF HQ kujadiliana na makamanda kuhusu masahibu yaliyowakuta kufuatia uchokozi wa syria kutungua ndege yao,

Elungata acha kupika habari Uwanja wa ndege wa Ben-Gulion haujafungwa na pia ndege vita F-16 aliwemo rubani tu kama kawaida ya ndege vita haiwi na watu wawili!!!.
 
Elungata acha kupika habari Uwanja wa ndege wa Ben-Gulion haujafungwa na pia ndege vita F-16 aliwemo rubani tu kama kawaida ya ndege vita haiwi na watu wawili!!!.
haha wayahudi weusi bana. Sasa ndege ya vita inaendeshwa na rubani wa kawaida why?
 
haha wayahudi weusi bana. Sasa ndege ya vita inaendeshwa na rubani wa kawaida why?

Sijakuelewa swali lako lakini uelewe ndege vita inapokuwa kwenye mission inaruka na rubani tu haibebi watu wawili kama alivyosema Elungata
 
DVsbqk6XkAE5ibA.jpg:small

rubani alietunguliwa.

DVtSk3qXcAARzBR.jpg:small
.

Target alizohit israel,

mpaka sasa wanaojulikana kupoteza maisha ni wasyria wawili,syria defence service men huko suwayda.

-observation tower katika airbase T-4.

-SA-5 airdefence battery destroyed.

-SA-17 airdefence battery

-SA-2 battery

-iran mobile command unit


iran saegeh drone
 
Back
Top Bottom