Syria watungua ndege ya Israel

Elungata acha kupika habari Uwanja wa ndege wa Ben-Gulion haujafungwa na pia ndege vita F-16 aliwemo rubani tu kama kawaida ya ndege vita haiwi na watu wawili!!!.
ha ha ha mkuu ,ile ndege ni two seater,ujuwe kuna jetfighter single seat na two seater,lakini mandege makubwa kama B-52 bomber wanakuwa zaidi ya wawili,

kuna watu wanasema ndege iliyopigwa ni ya zamani,
si kweli,ile ni top liner built special for israel,ina capacity tofauti na F-16 wanazotumia wengine,

ile ni F-16I soufa ama storm,ilitengezwa mwaka 2001 ila israel waliipokea 2003,

kawaida marekani huipa israel silaha special made,kwahiyo F-16 ya israel ni tofauti na ya misri,saud,kuwait ama UAE
 
DVsbqk6XkAE5ibA.jpg:small

rubani alietunguliwa.

DVtSk3qXcAARzBR.jpg:small
.

Target alizohit israel,

mpaka sasa wanaojulikana kupoteza maisha ni wasyria wawili,syria defence service men huko suwayda.

-observation tower katika airbase T-4.

-SA-5 airdefence battery destroyed.

-SA-17 airdefence battery

-SA-2 battery

-iran mobile command unit

iran saegeh drone

Kwenye Jeshi la anga la Israel hakuna Rubani mzee kama huyo uliyeweka picha yake.
 
Uwanja wa ben gurion ulifungwa kwa mda ulifunguliwa jioni,
nadhani hujasoma msemaji wa kijeshi wa israel aliomba yaishe hawataki kuukuza ugomvi na mambo yakaishia hapo,sasa kila mtu anaangalia nani anafanya nini,

ben gurion ulifungwa asubuhi baada ya baadhi ya makombora ya syria ya kutungulia ndege kuangukia katika ya israel,wakahofu ndege za abiria zinaweza kutunguliwa kwa bahati mbaya,
kuna picha huko twitter zikionyesha kombora zimekita chini ndani ya israel
 
superiority Fighter f-16 iliyo shutwa na technology ya zaman ijulikanayo kama s-200 hakunaga hapo cha five generation hapo wala nn kama f117 na ujanja wote wa kutoonekana kwenye radar lakini akashutwa na kombora ya kizamani pia
 
Kile kikao kiliitishwa wakiwa wameshapiga mara ya pili,
ni baada ya kikao ndo msemaji wa kijeshi wa israel akaomba po...

By the way huyo ruban siyo myahudi,ni mwarabu
 
Usicheze na Israeli wewe...wale jamaa kwenye ulinzi wa Taifa lao achana nao kabisa. Nakuhakikishia haifiki mwezi wa 6 watashambulia tena Syria. Hifadhi hii comment utaikumbuka.
Haya tuone kama atasogea tena, sikatai anaweza kusogea kujaribu tena lakini akisha angushiwa ndege ya pili ndio atabidi akimbie pale warudi walipo tokea. Mwisho wa Israel hauko mbali.
 
Elungata acha kupika habari Uwanja wa ndege wa Ben-Gulion haujafungwa na pia ndege vita F-16 aliwemo rubani tu kama kawaida ya ndege vita haiwi na watu wawili!!!.
Jeshi la Israel linasema kuwa moja ya helikopta zake iliangusha ndege isiyo na rubani iliyoingia nchini mwake siku ya Jumamosi.

Kujibu, Israel inasema kuwa ilishambulia vituo vya Syria na Iran nchini Syia ambapo ndege yake ya F-16 ilishambuliwa na baadaye ikaanguka.

Marubani wawili walifanikiwa kuruka salama kabla ya ndege hiyo ianguke katika eneo lililo karibu na mji wa Harduf kaskazini mwa Israel.
BBC siyo mimi!
 
Kile kikao kiliitishwa wakiwa wameshapiga mara ya pili,
ni baada ya kikao ndo msemaji wa kijeshi wa israel akaomba po...

By the way huyo ruban siyo myahudi,ni mwarabu
Ndio maana nilishangaa eti F-16 imepigwa na kombora kutoka Syria. Hili tukio limebeba siri nyingi sana kuliko tunavyodhani. It's a big mistake IDF inafanya.
 
Mkuu miezi 6 uliyotabiri mingi sana kwa Israel kuvumilia; ameshawaliza vibaya tayari. Ni kichapo cha aina yake huko Syria tangu 1982; magaidi na wafadhili wao wanasaga meno mida hii. Hata wale wa hapa JF washasepa tayari.
Mi huwaga sielewi hii kitu.. Israel anatembeza ndege zake anga ya Lebanon kama vile ni kwao.. Wameshambulia Syria zaidi ya mara kumi bila kuchokozwa.. Sasa Syria wamejibu mashambulizi wamekuwa magaidi tena? Hivi wewe mtu angekuja kwako akuchezee sharubu mbele ya mkeo ungemtizama tu? Ukijibu mapigo unakuwa gaidi?
 
Hutaki kuelewa kwa sababu unafiki umekujaa kila mahali. Nikupe mfano rahisi; una jirani yako anafuga vibaka purposely kukushambulia wewe na familia yako; kutwa kucha hawaachi kuingia shambani mwako au kukurushia vitu vya hatari. Funny eneough, kaona hiyo haitoshi kaamua sasa kujenga kiwanda cha zana na mifumo hatari ili vibaka wake watakapofanya mashambulizi usiweze kujibu mapigo. Utakuwa mpumbavu kupindukia kutochukua hatua juu ya harakati za jirani yako huyo.

Wanachofanya Sysria, Lebanon, na Iran nyuma ya magaidi Hezibollah hakina tofauti na mfano huo. Yaani Israel aone kabisa military bases za hatari zinajengwa tena lengo kuu kumfuta katika uso wa dunia halafu anyamaze kimya? Dah! Punguza basi unafiki Mkuu! Si kila siku Iran anaropoka Israel lazima ifutwe kwenye uso wa dunia? Au hilo kwako sio issue? Mbona Israel hashambulii Misri au Jordan?
 
Lakini leo iran wametoa tamko na kukanusha kuwa hakuna base yao iliyoshambuliwa wamesema huo ni ungo na swaga za nyau
 
Mkuu usisahau kuwa vita usidharau unaaepigana nae, hao Israelí walipelekwa mchaka mchaka na Hizbullah mpaka wakaamua kushambulia mji mkuu wa Lebanon ilhali wanajua kuwa mahasimu wao wanapatikana kwenye maeneo ya kusini mwa Lebanon kwenye mpaka na Israel.... Vita havitabiriki , omba salama TU
Ile nayo ni mbinu mkuu......... Hata vita ikitokea kati ya Kenya na Tanzania mpakani halafu wakaona huku Dar ni Bata kama kawaida basi Wana shoot ili makao makuu napo wawe makini kutatua tatizo

Hata katika vita ya Kagera ujue kuwa Mwanza nayo ililengwa na waliitafuta Bugando
 
Back
Top Bottom