DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,309
- 2,726
Akijalibu kuipiga/kuishambulia moscow, basi Tel aviv itageuka kuwa majivu ndani ya nusu siku tu.
Sio ndani ya nusu siku. Ni only 30 minutes atageuzwa kuwa jivu.
Akijalibu kuipiga/kuishambulia moscow, basi Tel aviv itageuka kuwa majivu ndani ya nusu siku tu.
na kama mlinzi wa syria ni mrusi basi israel akapige moscow.
Umeskia na Tanzania wanachomoa kuhudumia na kupokea wakimbizi?Yep kaka.. raia wa kule wamepewa dili la dola elfu tisa kuwakamatisha miafrika kuirudisha kwao… serikali ilitoa ofa ya dola buku tatu kila mkimbizi “mweusiwafrika” alikubali kurudi kwao kwa hiari jamaa wakachomoa ndo ikaja hiyo… miafrika hamtakiwi huko ila huku JF tunawashobokea balaa…
halafu wamtafute [MTUKUFU] wanaemwita aliwateua wakati ni wetu sote.Sio ndani ya nusu siku. Ni only 30 minutes atageuzwa kuwa jivu.
nilisema na nitasema tena urusi sio kitu cha mchezo mchezo.
BABA TATIZO IMANI ZINATIA SANA UPOFU ZINAPUNGUZA UWEZO WA KUFIKIRI,MAANDIKO YANAWAFANYA WATU WAHISI HAWA JAMAA NI KITU CHA AJABU.ILA KUNA WATU HAWAFAI KUCHOKOZWA WALA TU KUPULIZWA NA UPEPO WA KICHOKOZI.NADHA NI UKOSEFU WA HEKIMA NA KUKARIRI MAANDIKO.Mkuu binadamu wengine wana analytical mind za kushangaza kidogo, Eti Israel itashambulia Moscow!!! Yaani wamesahau kwamba kombora moja la mlipuko wa thermonuclear lina uwezo wa kufuta Taifa lenye eneo la mraba kama Ufaransa kutoka uso wa Dunia, je, kombora kama hilo likidodonshwa ndani ya kanchi kadogo kama Israel si katabaki majivu tu - we unafikiri kwa nini Natenyau kabla hajafanya chochote katika anga la Syria ukimbilia Urusi kumuona Putin kwanza - sasa Israel hisipo kuwa makini ikawa carried away na ujeuri wa Waziri mkuu wao watakuja kutandikwa vikali wajute kuzaliwa, siwasemi vibaya lakini dawa yao hiko jikoni ni suala la muda tu na timing.
MKUU NI UKOSEFU WA HEKIMA NA PROPAGANDA ZA KIDINI ZINAWAPOFUSHA.ILA SIKUSOMA SANA ILA NIKIKUMBUKA KILICHOMTOKEA HITLER LABDA NINGEKUWA MTU WA DINI NINGESEMA URUSI NDIO WALIOPEWA HILO TEUZI HASA LA KUIGOMBOA DUNIA KWA KIPINDI KILE.URUSI NI TATIZO.Mkuu binadamu wengine wana analytical mind za kushangaza kidogo, Eti Israel itashambulia Moscow!!! Yaani wamesahau kwamba kombora moja la mlipuko wa thermonuclear lina uwezo wa kufuta Taifa lenye eneo la mraba kama Ufaransa kutoka uso wa Dunia, je, kombora kama hilo likidodonshwa ndani ya kanchi kadogo kama Israel si katabaki majivu tu - we unafikiri kwa nini Natenyau kabla hajafanya chochote katika anga la Syria ukimbilia Urusi kumuona Putin kwanza - sasa Israel hisipo kuwa makini ikawa carried away na ujeuri wa Waziri mkuu wao watakuja kutandikwa vikali wajute kuzaliwa, siwasemi vibaya lakini dawa yao hiko jikoni ni suala la muda tu na timing.
na kwenyewe dau la dola buku tisa limetangazwa mkuu tuchangamke?Umeskia na Tanzania wanachomoa kuhudumia na kupokea wakimbizi?
Vp na huku wanakaa waisraeli?
Huyu Mu Israeli kaja kupambana na Waarabu hapa JF.Hii ni issue ya kitoto sana kwa Israel. Kipigo watakachokipata magaidi na wafadhili wao watajuta uchokozi wa kitoto walioufanya. Eti makombora yamelenga ndege, ikadondokea Israel, na rubani hajafa au kukamatwa. That alone gives you a clue uwezo wa hawa jamaa. Wakati nyie mnapeleka binadamu forefront kujilipua, wao ni protection ya life ya watu wao kwanza. Hamuoni tafauti?
Bora ifutwe tu waarabu wa palestina na Jf tuigawe upya mpaka yake bila tabuBABA TATIZO IMANI ZINATIA SANA UPOFU ZINAPUNGUZA UWEZO WA KUFIKIRI,MAANDIKO YANAWAFANYA WATU WAHISI HAWA JAMAA NI KITU CHA AJABU.ILA KUNA WATU HAWAFAI KUCHOKOZWA WALA TU KUPULIZWA NA UPEPO WA KICHOKOZI.NADHA NI UKOSEFU WA HEKIMA NA KUKARIRI MAANDIKO.
namkubali sana hitlerBora ifutwe tu waarabu wa palestina na Jf tuigawe upya mpaka yake bila tabu
Kwa nini chief??namkubali sana hitler
HUYU ALINIFANYA NIJUE KWAMBA JEWS NI WATU KAWAIDA SANA TENA DHAIFU NA LAGHAI,WAKUBEBWABEBWA NA WASALITI.ILA ZAIDI NI JINSI ALIVYOWASHUGHULIKIA.KISHA WAO HAWAJUI KWAMBA MRUSI NDIO ALIMZUIA ADUI WAO ASIWAMALIZE,NA SASA WANAMHARIBIA BIASHARA ZAKE PALE SIRIA.SASA HAWA SI PUPPETS TU MKUU.Kwa nini chief??
Sawa mkuu, kuna kipindi nilikuwa siwafahamu kwa ukaribu hawa wayahudi nilikuwa nawaona kila kitu ila jamii forum imenifungua sana tangu niifahamu kwa kweli nimepata kuyajua hata kama si mengi ila nina uelewa kidogo kuhusu hawa watuHUYU ALINIFANYA NIJUE KWAMBA JEWS NI WATU KAWAIDA SANA TENA DHAIFU NA LAGHAI,WAKUBEBWABEBWA NA WASALITI.ILA ZAIDI NI JINSI ALIVYOWASHUGHULIKIA.KISHA WAO HAWAJUI KWAMBA MRUSI NDIO ALIMZUIA ADUI WAO ASIWAMALIZE,NA SASA WANAMHARIBIA BIASHARA ZAKE PALE SIRIA.SASA HAWA SI PUPPETS TU MKUU.
WANAPENDA KUBEBWA MPAKA WANAAMINISHA WATU KWAMBA MUNGU HUANZA KWAO KWANZA,LAKINI NI WATU WANAOISHI KWA SHIDA NA WASIWASI WAKITUMIKA TUMIKA HOVYO HOVYO,ILA NI WABAGUZI NA WALA HAWANA CHOCHOTE.Sawa mkuu, kuna kipindi nilikuwa siwafahamu kwa ukaribu hawa wayahudi nilikuwa nawaona kila kitu ila jamii forum imenifungua sana tangu niifahamu kwa kweli nimepata kuyajua hata kama si mengi ila nina uelewa kidogo kuhusu hawa watu