Syria watungua ndege ya Israel

Syria watungua ndege ya Israel

Taarifa zilizo nifikia hivi punde ni kuwa jiji la Telaviv lageuzwa majivu na makombora kutoka Syria, huku habari za kina zikieleza kwamba ngome nyingi za jeshi la Israel zikiwa zimeharibiwa vibaya. Vile vile mrusi ameingiza zana na majeshi ya kutosha nchini Syria kulinda miji na maeneo yote Muhimu. ....Just a Story.
 
Taarifa zisizo rasmi zinasema syria walitumia makombora 10 ya ulinzi wa anga,kudungua ndege 2 za F-16 na helcopter moja,Apache na makombora 5 ya israel.
Taarifa kutoka source ndani ya israel defence zinasema israel is in disarray,sijui kudisarray no nini au wamepanick au kuchachawa sijui,

wanadai Russia imewazunguka na kuplot na syria na iran,kuiangusha ndege yao
hapa ndo tuaona kusa US akikaziwa vizuri anapigwa kiurahisi!! angali Syria walivyoidhngua kiurahisi! F16 ilisifiwa sa sana na proUS
 
Russian forein minister--"we are very concern about israel attack in syria,we have nothing to do with the downed israel plane,
any threat agaisnt our service men in syria are unacceptable..."


kwa ambao hamna habari ile drone,iliruka kutokea airbase T-4 huko palmry,syria.
Hiyo kambi ina Russian service men pia.

Ile drone haikuingia israel bali iliambaa ambaa juu ya occupied golan height kabla haijawa shot down na israel apache helcopter.

Waisrael waliishambulia kambi ya T-4 wakijua kabisa kuna Russian personal.

Kuna habari kuwa multiple israel missile were jammed,

na ni wazi kuwa,syria hawana electronic warefare system na itakuwa wanategemea system ya mrusi,
sasa hicho ndo kinawapandisha mzuka israel wakisema kuwa Russia anahusika,
wanasahau kuwa wao wameanza kuitwanga kambi ya jeshi syria wakijua mle kuna warusi pia,
niseme tu shambulio la leo la israel kabla ndege yao haijaangushwa,halikuwa coordinated na Russian.

Ndo maana russia kusema,"any threat against our service men in syria are unacceptable"
 
Taarifa zilizo nifikia hivi punde ni kuwa jiji la Telaviv lageuzwa majivu na makombora kutoka Syria, huku habari za kina zikieleza kwamba ngome nyingi za jeshi la Israel zikiwa zimeharibiwa vibaya. Vile vile mrusi ameingiza zana na majeshi ya kutosha nchini Syria kulinda miji na maeneo yote Muhimu. ....Just a Story.
Let it be just a mere story!!
 
Kabla sijaacha kuubabysit huu uzi kwa mda,
israel wanasema "syria and iran,they are playing with fire,aaand they want hezbollah out of syria


hezbollah nao wamedclare readness to confront any israel aggression against syria in golan and they will fight to the last breath


so now,i will have stop here for couple of hours,i will be back with some interesting updates,feel free to babysit this thread while am away
 
Silaha hizi zote hatutashuhudia kamwe zikitumika kikamilifu ktk vita kati ya Taifa na Taifa. Ibilisi shetani anawatengenezesha wanadamu Silaha hizi kwa maandalizi ya ile vita kubwa mno ya Armageddon (Soma Biblia Kitabu cha Ufunuo wa Yohana). Je, tufanye nini? OKOKA!
 
Silaha hizi zote hatutashuhudia kamwe zikitumika kikamilifu ktk vita kati ya Taifa na Taifa. Ibilisi shetani anawatengenezesha wanadamu Silaha hizi kwa maandalizi ya ile vita kubwa mno ya Armageddon (Soma Biblia Kitabu cha Ufunuo wa Yohana). Je, tufanye nini? OKOKA!
Mambo haya inafaa kwenye jukwaa la dini rafiki. Hapa watu wanajadili kudunguliwa kwa ndege ya Israel.
 
Habari zinasema israel imeshambulia target 12 ndani ya syria,akitarget majeshi ya iran,watakua wana maanisha hezbollah,
uwanja wa ndege wa israel Ben gurion umefungwa kwa kuhofia mashambulizi ya makombora toka syria,
Netanyau yuko IDF HQ kujadiliana na makamanda kuhusu masahibu yaliyowakuta kufuatia uchokozi wa syria kutungua ndege yao,
Israeli tangu mwaka juzi ilishasema ataeigusa ndege yao atakipata tena wakatishia hadi kuharibu huo mfumo wa ulinzi wa Anga wa Syria.

Mwaka jana mwishoni Israel aliharibu battery ya S-200 baada ya kujaribu kuitungua F-16i yao sasa sijui safari hii Syria watapewa adhabu ngoja tuendelee kuangalia movie.
 
Jamanii eeehhe wajerumani walionekana ni wauaji wakubwa walipojaribu kuusafisha ulimwengu na hawa jamaa wenye fitna hapa duniani leo tunashuhudia jinsi wanavyoitawala dunia kwa fitna zao na vita yote duniani hapo ni lazima hawa jamaa wamo kwa namna moja au nyingine. Jamani hawa waYahudi hasa wala Mazayuni si watu wazuri kabisa ni bora yule jamaa angewamaliza tuuu
 
Hehehe sasa Israel kaenda kushambulia kambi ambayo Mrusi yupo yeye kulipiziwa analalamika aache unazi, tatizo hapo Israel yupo karibu na Syria na mapigano yakianza Yataingia nyumbani kwa Israel na ndo anachohofia
 
[emoji23] [emoji23] tangu asubuhi nasema hii habari ya ndege ya Israeli lazima Elungata ailete Jf,kumbe maono yangu yalikua sahihi
nadhani ameileta kwa sababu wewe huwezi kuileta habari kama hii

Anyway inakuaje ndege yetu pendwa na bora inaangushwa na defense system za Syria..?, Syria kabisa..!!
 
Mkuu nitafutie ndugu yetu ze kokuyo aje atuambie je bado hizo ndege ni tisho kama zimesha anza kudunguliwa kama njiwa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yani ndege ya miaka ya 1970 kudunguliwa mnafanya sherehe!!!![emoji2] Mbona Mturuki aliitumia ndege hiyohiyo kama ya Israel F-16 kuitungua ile ya Mrusi lakini walikaa kimya.

Hii wiki haiishi nakwambia lazima Israel atembeze kichapo kingine huko Syria.
 
Back
Top Bottom