cnn, bbc na international agencies wote. Wanaonyesha na video wakati target zilikuwa zinapigwa. Ni Jana hiyo.Habari njema sana hii. Tupe source Mkuu.
cnn, bbc na international agencies wote. Wanaonyesha na video wakati target zilikuwa zinapigwa. Ni Jana hiyo.Habari njema sana hii. Tupe source Mkuu.
Mkuu acha kudanganya kipigo gan unaweza kuwapa syria ukasema hakijawahi kutokea nchi hipo ipo kwenye vita miaka yote hii imeshapigwa kila aina ya siraha watu wake wameshakufa kila aina ya vifo mpk kuchinjwa live .kuzikwa waziwa kila aina asa huyo muisrael atawapa kipiggo kipi ambacho kitawastua .... yan nchi ya syria si wakubwa wala wtt wanaish kwakujua watakufa leo kesho kutokana na yanayoendelea kwenye nchi hyo walishakata tamaa kabisa ..hvyo hakuna kipigo hata kimoja watakachopigwa na muisrael kikawa kipya yote marudioUmeona mrejesho wa Israel au bado? Wanajeshi wao wawili walipona ila kipigo alichopewa Syria wanasema hakijatokea kwa miaka 30 iliyopita. Mshindi nani?
Mgonjwa ni wewe mkuuHuyo ni mgonjwa msamehe
Mkuu miezi 6 uliyotabiri mingi sana kwa Israel kuvumilia; ameshawaliza vibaya tayari. Ni kichapo cha aina yake huko Syria tangu 1982; magaidi na wafadhili wao wanasaga meno mida hii. Hata wale wa hapa JF washasepa tayari.Usicheze na Israeli wewe...wale jamaa kwenye ulinzi wa Taifa lao achana nao kabisa. Nakuhakikishia haifiki mwezi wa 6 watashambulia tena Syria. Hifadhi hii comment utaikumbuka.
Usicheze na Israeli wewe...wale jamaa kwenye ulinzi wa Taifa lao achana nao kabisa. Nakuhakikishia haifiki mwezi wa 6 watashambulia tena Syria. Hifadhi hii comment utaikumbuka.
Habari njema sana hii. Tupe source Mkuu. Ok, it's here: Israel Strikes Iran in Syria and Loses a Jet
Naona magaidi na wafadhili wao wanalishwa kinyesi chao sawia na wanakibugia kwa fujo kweli kweli manina zao! Cc: Elungata Nalendwa ze kokuyo niah
***************
Israel says it has inflicted huge damage on Syrian air defences after one of its fighter jets was brought down during a raid over Syria.
The response was the "most significant attack" of its kind against Syria since the 1982 Lebanon war, said senior Israeli air force general Tomer Bar.
The F-16 jet went down during a mission that followed an Iranian drone launch into Israeli territory, Israel says.
The two pilots parachuted to safety before the crash in northern Israel.
Israel says it responded with a second wave of strikes on both Syrian and Iranian military targets operating inside Syria.
Israeli air strikes in Syria are not unusual, BBC Middle East correspondent Tom Bateman says, but the loss of an Israeli fighter jet marks a serious escalation.
Maneno sijayatunga. Ingia cnn, bbc au vyombo vingine usikilize au usome. Myahudi anasema kwa miaka 30 ilikuwa haijaishambulia syria kama walivyofanya jana na wamesema wataendelea na mashambulizi. Soma au sikiliza vyombo vya habari.Mkuu acha kudanganya kipigo gan unaweza kuwapa syria ukasema hakijawahi kutokea nchi hipo ipo kwenye vita miaka yote hii imeshapigwa kila aina ya siraha watu wake wameshakufa kila aina ya vifo mpk kuchinjwa live .kuzikwa waziwa kila aina asa huyo muisrael atawapa kipiggo kipi ambacho kitawastua .... yan nchi ya syria si wakubwa wala wtt wanaish kwakujua watakufa leo kesho kutokana na yanayoendelea kwenye nchi hyo walishakata tamaa kabisa ..hvyo hakuna kipigo hata kimoja watakachopigwa na muisrael kikawa kipya yote marudio
Walishindikana kumalizwa na hakuna atakayeweza kuwamaliza kamwe milele yoteJamanii eeehhe wajerumani walionekana ni wauaji wakubwa walipojaribu kuusafisha ulimwengu na hawa jamaa wenye fitna hapa duniani leo tunashuhudia jinsi wanavyoitawala dunia kwa fitna zao na vita yote duniani hapo ni lazima hawa jamaa wamo kwa namna moja au nyingine. Jamani hawa waYahudi hasa wala Mazayuni si watu wazuri kabisa ni bora yule jamaa angewamaliza tuuu
Nipo hapa naangalia ila cijaona hyo habar zaid ya mazungumzoManeno sijayatunga. Ingia cnn, bbc au vyombo vingine usikilize au usome. Myahudi anasema kwa miaka 30 ilikuwa haijaishambulia syria kama walivyofanya jana na wamesema wataendelea na mashambulizi. Soma au sikiliza vyombo vya habari.
Wasubirie usulubishoIsrael atalipa tu
Waambie hao Israel na ndugu zake...Mnazalisha maiti zaidi kwa kugombea maiti moja! Ujinga!
Uzuri wake jamaa hua hawacheleweshagi, yani ukiwazingua tu mida hiyohiyo wanalipiza. Nimeingia Haarez na Sputnik wametoa video inayoonyesha wakishambulia ile base ya Iran.Yale yale Nilikuwa nauliza, huyu jamaa kiboko kashafanya yake kurudisha mapigo ya F-16 moja..
"The response was the "most significant attack" of its kind against Syria since the 1982 Lebanon war, said senior Israeli air force general Tomer Bar.."
Habari njema sana hii. Tupe source Mkuu. Ok, are here
Source 01: Israel Strikes Iran in Syria and Loses a Jet
Source 02: Analysis | Israel has taken its biggest step into the Syrian war yet. What does that mean?
Source 03: A Potentially Dangerous Door Opens in Syria as Israel Launches Massive Strike After Its Jet Is Shot Down
Naona magaidi na wafadhili wao wanalishwa kinyesi chao sawia na wanakibugia kwa fujo kweli kweli manina zao! Walonywa mapema wasicheze na "mato" hawakuelewa. Cc: Elungata Nalendwa ze kokuyo niah
***************
Israel says it has inflicted huge damage on Syrian air defences after one of its fighter jets was brought down during a raid over Syria.
The response was the "most significant attack" of its kind against Syria since the 1982 Lebanon war, said senior Israeli air force general Tomer Bar.
The F-16 jet went down during a mission that followed an Iranian drone launch into Israeli territory, Israel says.
The two pilots parachuted to safety before the crash in northern Israel.
Israel says it responded with a second wave of strikes on both Syrian and Iranian military targets operating inside Syria.
Israeli air strikes in Syria are not unusual, BBC Middle East correspondent Tom Bateman says, but the loss of an Israeli fighter jet marks a serious escalation.
Binyamin "Bibi" Netanyahu binadamu mwenye IQ ya hatari duniani kwa kizazi hiki! Kichwa cha aina hii kiitishe kikao cha dharua cha kamati ya ulinzi ya taifa lazima mjiandae kulipa "gharama" tena ndani ya masaa machache sana. Magadi na wafadhili wao wanalishwa vinyesi vyao muda huu.Vijana wa Netanyahu wamerudisha mapigo mpaka kwenye Iran Military targets ndani ya Syria.
Hope this won't escalate..
Haiwezekani kwa sasa.Maana Syria wanajua wakilianzisha Bhas Israel nae anaingia ardhini kama alivyofanya Turkey. Au anaweza kuongeza mashambulizi ya anga ipasavyo Kama alivyofanya kwenye Operation Mole Cricket19 ambapo air defenses karibu 30 za Syria ziliharibiwa ndani ya siku mbili tu bila damage yoyote upande wa Israel.Vijana wa Netanyahu wamerudisha mapigo mpaka kwenye Iran Military targets ndani ya Syria.
Hope this won't escalate..
Iran anajiingiza kichwa kichwa; anazidi kukuza mgogoro bila sababu. Anyway, hebu tuone hizo projects zake za kujenga air bases huko Syria zitaishia wapi.Uzuri wake jamaa hua hawacheleweshagi, yani ukiwazingua tu mida hiyohiyo wanalipiza. Nimeingia Haarez na Sputnik wametoa video inayoonyesha wakishambulia ile base ya Iran.
wewe ndio mpangaji wa mipango ya vita huko israel?Watalipiza x100
watanzania mnanifurahishaga sana. mnaijua vita ya mashariki ya kati kuliko walioko vitani[emoji23]Maneno sijayatunga. Ingia cnn, bbc au vyombo vingine usikilize au usome. Myahudi anasema kwa miaka 30 ilikuwa haijaishambulia syria kama walivyofanya jana na wamesema wataendelea na mashambulizi. Soma au sikiliza vyombo vya habari.
Hakuma mwenye hati miliki na Uzi mkuu, Hatuwezi kupata marifa tukikwazana kama vile tupo kwenye siasa za mwendo kasi!,
update kuhusu hizi ndege ni muhimu sana maana ni moja wapo ya tegemeo la U.S. zipo nyingi sana kwenye kambi zao na ni za ghali sana kama zimesha anza kudunguliwa ni hatari sana maana nyingine wana zi upgrade to hazina tofauti kubwa sana !! hii F-16 kwa ubora wake imepewa majina kibao ya sifa mara nyoka wa Angani!!
Nipo hapa naangalia ila cijaona hyo habar zaid ya mazungumzo