Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,486
Usicheke mkuu hao marekani na korea unasikia sijui fulani kasema na mwenzake akajibu vile.Nimecheka sana
Kama wake wenza
Ila syria na Israel hakuna maneno hawa ni wanaume wa shoka
Usicheke mkuu hao marekani na korea unasikia sijui fulani kasema na mwenzake akajibu vile.Nimecheka sana
Hawez angekua ameshafanya hvyo kitamboYaani kabisa unaamini US anashindwa kuisambararisha Syria?
Na uogo usiokuwa na maana, mwarabu na mwafrika kitu kimoja tu.Waarabu unafiki umewajaa ila wangekua wamoja wasingesumbuliwa na yeyote
Hii ni issue ya kitoto sana kwa Israel. Kipigo watakachokipata magaidi na wafadhili wao watajuta uchokozi wa kitoto walioufanya. Eti makombora yamelenga ndege, ikadondokea Israel, na rubani hajafa au kukamatwa. That alone gives you a clue uwezo wa hawa jamaa. Wakati nyie mnapeleka binadamu forefront kujilipua, wao ni protection ya life ya watu wao kwanza. Hamuoni tafauti?
Ndo umeongea nn sasa?Hii ni issue ya kitoto sana kwa Israel. Kipigo watakachokipata magaidi na wafadhili wao watajuta uchokozi wa kitoto walioufanya. Eti makombora yamelenga ndege, ikadondokea Israel, na rubani hajafa au kukamatwa. That alone gives you a clue uwezo wa hawa jamaa. Wakati nyie mnapeleka binadamu forefront kujilipua, wao ni protection ya life ya watu wao kwanza. Hamuoni tafauti?
zarula ndiyo nini?Aiseee kunafuka moto ,npo nafatilia hapa ....
Netanyau kaita kikao cha zarula na wakuu wamajeshi yake
Dharula ,,au ulitaka niandikie ivo !!!zarula ndiyo nini?
Taarifa zisizo rasmi zinasema syria walitumia makombora 10 ya ulinzi wa anga,kudungua ndege 2 za F-16 na helcopter moja,Apache na makombora 5 ya israel.
Taarifa kutoka source ndani ya israel defence zinasema israel is in disarray,sijui kudisarray no nini au wamepanick au kuchachawa sijui,
wanadai Russia imewazunguka na kuplot na syria na iran,kuiangusha ndege yao
Ahahahaaa jamani shidaaaa!!!! Kuna jamaa amecoment humu ndani kuwa ngoje waje waisrael na waarabu wa jf waanzishe vita yao humu jf nikampa like kumbe ni kweli kabisa we wa kwanza mkuu,,, ahahahaaaHii ni issue ya kitoto sana kwa Israel. Kipigo watakachokipata magaidi na wafadhili wao watajuta uchokozi wa kitoto walioufanya. Eti makombora yamelenga ndege, ikadondokea Israel, na rubani hajafa au kukamatwa. That alone gives you a clue uwezo wa hawa jamaa. Wakati nyie mnapeleka binadamu forefront kujilipua, wao ni protection ya life ya watu wao kwanza. Hamuoni tafauti?