Syria watungua ndege ya Israel

Syria watungua ndege ya Israel

Nataka nijuue hcho kipigo walichompa syria mbona habar yake siion zaid ya hzo picha za tukio la jana
 
Sasa huon kama hyo habar ni yajana na hyo ndege ni ile ya israel iliyoangushwa jana na syria
Mkuu hayo yote yamefanyika jana Wala sio leo.Tena ni muda mfupi tu baada ya Netanyahu kuitisha kikao na wakuu wake wa Usalama.
 
Yan hapa tatizo lote ninakuja ni kwenye uelewa wa kutafsir neno kutoka kwenye lugha pendwa mpk lugha yetu yakiswahili
 
emoji1.png
emoji28.png
emoji23.png
Bombardier ni jina gum sana tata kwa sasa !!
Ningempandia J-20 au Su-35 !
 
Hiyo habari ni ya jana Wala sio leo.
Ok bac tunataka hzo picha la tukio kama tulivyoona picha za tukio la syria walivyoangusha ndege na pia tukio la israel kuwapa kichapo syria ambacho hawajawahi kukipata tangu miaka hyo waliyotaja zionekane
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Gobore tena[emoji2]
Babu yangu alikuwa nalo nikaona la nini sasa hili nikalirudisha polisi nikawambia ninaunga mkono shughuli za fulani wambie U.S. F-16 haina kazi tena mkuu ilisifiwa sana !!
 
Ok bac tunataka hzo picha la tukio kama tulivyoona picha za tukio la syria walivyoangusha ndege na pia tukio la israel kuwapa kichapo syria ambacho hawajawahi kukipata tangu miaka hyo waliyotaja zionekane
Ndo maana hata BBC wametumia hizi '.......' kwenye sentence kwa sababu hawana uhakika na habari imetoka upande mmoja tu wa IDF bila upande wa pili.
 
Babu yangu alikuwa nalo nikaona la nini sasa hili nikalirudisha polisi nikawambia ninaunga mkono shughuli za fulani wambie U.S. F-16 haina kazi tena mkuu ilisifiwa sana !!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] Ila jana hiyohiyo F-16 ilirudisha mashambulizi tena ipasavyo
 
Yale yale Nilikuwa nauliza, huyu jamaa kiboko kashafanya yake kurudisha mapigo ya F-16 moja..

"The response was the "most significant attack" of its kind against Syria since the 1982 Lebanon war, said senior Israeli air force general Tomer Bar.."
Trump kamwambia aseme hivyo hawa jamaa ni hatari sana kwa mkwara kama una picha yake apo lazima alikuwa amenyonga Tai moja matata maana bila kuonyonga Tai huwa hawawezagi kusema hayo maneno !!
 
Ndo maana hata BBC wametumia hizi '.......' kwenye sentence kwa sababu hawana uhakika na habari imetoka upande mmoja tu wa IDF bila upande wa pili.
Hapo kama mtu akili inachemka ndo utajua kama ni propaganda mana toka lin tukio litokee wasionyeshe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] Ila jana hiyohiyo F-16 ilirudisha mashambulizi tena ipasavyo
Mkuu hiyo ndio AK47 hawana nyingine inayoweza mpiku F-16 ila ukweli ni kwamba lazima itadunguliwa tena !
 
Niliposema "unaleta update kuliko mleta uzi" kuna kitu nimemaanisha, soma vizuri utanielewa wala sijamkwanza mtu, kuna kitu anajaribu kutuonesha, anajaribu kutetea taifa flani

By the way tuachane na hayo Kuna mtu anakwambia hizo ndege zimepitwa na wakati,..! zimepitwa na wakati halafu bado ziko kwenye uwanja wa vita kufanya nini..?, Pro US/Israel ndio wanasema zimepitwa na wakati, na leo ndio wamejua zimepitwa na wakati baada ya kua shot down..! , ndege zilizopitwa na wakati zimestafishwa tayari haziko kwenye vita..!!

Wakubali tu Syria jana kawaotea, japokua wanamshushia makombora kupunguza hasira
Ni kweli na kitendo cha kudunguliwa ndio kinawaumiza sana hawa jamaa hawata sahau milele na zitaendelea kudunguliwa !!
 
Back
Top Bottom