Mimi naelewa kwanini israel iko so insecure mpaka wameiambukiza na marekani eti nayo iko hatarini urusi inataka kuifuta kwenye ramani,
baada ya israel ya zama zile kuanza kuwa na utawala wao,ulikuwa ni utawala weak sana,
walipochagua tu mfalme sauli,wakawa overtaken na wafilist kwa miaka kadhaa,hawajakaa sawa wakawa overtaken na utawala wa syria wa aramein,hawajakaa sawa alexander the great akawatawala,
haijakaa sawa ufalme wa misri na asyria ,haijaka sawa wakafutwa kwenye ramani na asyria,
hawajakaa vizuri wakafutwa kwenye ramani na babel,wakaenda utumwani mpaka mfalme wa iran akaja kuwakomboa na kuwarudisha caanan.
Sasa ukimuambia myahudi hata kiutani tu utamfuta kwenye ramani hata kama unamtest anakuwa sensitive mno.tangu rais ahmedinejad aropoke hivyo japo hakumaanisha walivyotafsiri ndo waisrael wameshupalia msemo huo,
sasa israel hataki iran awasaidie syria kupambana na waasi,
yaani sasa israel anajipa mamlaka ya kuiamulia syria marafiki.
Sawa tu na marekani kipindi kile kasikia mrusi kaweka makombora pale,nusura roho ziwatoke kwa kiwewe,wakisahau kuwa wao ndo walikuwa wakiitisha cuba mpaka ikaomba msaada soviet.
Iran hawataondoka kamwe syria mpaka pale hali itakapokuwa shwari,
labda wafanikiwe regime change ya iran ama syria which is next to impossible