Syria watungua ndege ya Israel

Syria watungua ndege ya Israel

Iran anajiingiza kichwa kichwa; anazidi kukuza mgogoro bila sababu. Anyway, hebu tuone hizo projects zake za kujenga air bases huko Syria zitaishia wapi.
huoni kama zimedungua mbili jana
 
[emoji23] yani kutungua ndege ya miaka ya 1970 ni kitu Cha kujisifu kweli!!!! Tena hiyo ndege imekua ikishambulia Mara kwa Mara...Halafu mnajisifu wakati ndege moja imeirushia makombora 10 utafikiri mlikua mnaua Simba vile
Syria imekua ikishindwa kutungua hizo hizo ndege unaziita za 1970's kwa miaka mingi...
Kuitungua kumeishtua Israel na kunewatia hari zaidi hao Syria,Hezbollah etc...Jeshi la Israel lazima linatafakari namna ya kulinda Rubani wake na ndege zake kama ikithibitika kabisa kuwa Syria 100% wanaweza angusha ndege zao...
Hii habari ndo maana imekua hot kwenye vyombo vyote vikubwa vya habari vikikaribisha wachambuzi kuangalia mstakabali mpya wa mashariki ya kati...
Usichukulie kiushabikishabiki tu
 
Mbona hata ile ya Urusi iliyotunguliwa juzi na waasi wa Syria ilikua hot kwenye vyombo vyote vikubwa!!!!

Hapo hakuna chochote Cha ajabu maana ni kawaida.
 
Uzuri wake jamaa hua hawacheleweshagi, yani ukiwazingua tu mida hiyohiyo wanalipiza. Nimeingia Haarez na Sputnik wametoa video inayoonyesha wakishambulia ile base ya Iran.
Iran anajiingiza kichwa kichwa; anazidi kukuza mgogoro bila sababu. Anyway, hebu tuone hizo projects zake za kujenga air bases huko Syria zitaishia wapi.

Hapa Mu Iran ndo anapochosha kumbe na yeye yuko vitani indirectly na hao Militia anaopeleka Syria kimya kimya.
 
Mnapoteza mda kushabikia,Hivi Baba akiwa anamchapa Mwanae kwa kosa alilo tenda kwani ni Mapigano?Tunajua Mtoto hawezifanya lolote tusubiri hasira za Baba ziishe basi .Siyo mbaya kuhesabu viboko
 
Mbona hata ile ya Urusi iliyotunguliwa juzi na waasi wa Syria ilikua hot kwenye vyombo vyote vikubwa!!!!

Hapo hakuna chochote Cha ajabu maana ni kawaida.
Hamna cha ajabu kwako tu...lkn Israel ni kitu cha ajabu na lazima watakua wanajipanga...na ndo maana wanalipiza mashambulizi kwa ukali ili kuwapa onyo Syria na Iran....Netanyahu kaita press conference,Netanyahu kampigia Tellerson,Kampigia Putin...Israel pia hapo jana amewasilisha ombi baraza la usalama umoja wa mataifa ili waikanye Iran..sababu Iran ndo iliyokuwa source ya hiyo Incidence, huko Lebanon watu wameandamana kushangilia utunguaji wa Ndege.Then huoni kwamba kunakitu kikubwa sana kimetokea....???Israel inataka iwe dormint middle east..ni kwa ajili ya usalama wake......

Kuhusu ndege ya Urusi mbona imeishajulikana kabisa kuna mkono wa nchi nyingine zilizosupply MANPAD iliyoangusha ndege....Waasi hawana huo uwezo....
 
2cc56fc5d8b0f71a20cfc1aa6251fd93.jpg

Ingia hata Sputnik Ile ya Urusi. Hiyo habari utaikuta.
Mkuu hii habar ni ya jana ungeifungua kwanza ukasoma kilichoandikwa ndan ndo ungeelewa nimeshindwa jinsi yakuileta humu nilivyoifungua ukiifungua ndani inaelezea kichapo walichopata israel kutunguliwa ndege yao haikuwaitoke toka mwaka huo tajwa hapo juu
 
Halafu rudi huko huko sputnik ukaone habar ya leo asubui kuhusu israel uamuzi wake ndo utaelewa
 
Mkuu hii habar ni ya jana ungeifungua kwanza ukasoma kilichoandikwa ndan ndo ungeelewa nimeshindwa jinsi yakuileta humu nilivyoifungua ukiifungua ndani inaelezea kichapo walichopata israel kutunguliwa ndege yao haikuwaitoke toka mwaka huo tajwa hapo juu
Embu isome vizuri Mkuu acha ubishi
 
Hahahaha....acha tu maana fundi25 nusura anipandie Bombardier anifate nilipo
Hahahaha nilipitia mara 3 Nikasema huyu jamaa aoni F-16 inakwenda kupumzishwa licha ya kuwa ndege muhimu kwenye vita yani haina tofauti na Ak47 kwenye !! ila kwa sasa inakwenda kuwa gobore!
 
Umeona mrejesho wa Israel au bado? Wanajeshi wao wawili walipona ila kipigo alichopewa Syria wanasema hakijatokea kwa miaka 30 iliyopita. Mshindi nani?
Kumchokoza Israel hutabaki salama
 
Hahahaha nilipitia mara 3 Nikasema huyu jamaa aoni F-16 inakwenda kupumzishwa baada licha ya kuwa ndege muhimu kwenye vita yani haina tofauti na Ak47 kwenye !! ila kwa sasa inakwenda kuwa gobore!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Gobore tena[emoji2]
 
Back
Top Bottom