Swali: Taaluma ya Upolisi ama Polisi wamelaaniwa?

policcm mbona walilaaniwa kitambo ndugu yangu? polisi wa tanzania ni kama MBWA...akili zao hazitofautiani na akili za MBWA KOKO anayekula vinyesi majalalani.

Hawa jamaa wengi ni Failure.... Ni wagumu sana ktk kufanya maamuzi yanayohitaji akili.
 
very true kaka, utalikuta lijitu linapondia hvyo alafu kuna ndugu zake polisi, au yeye mwenyewe kula kulala na anatamani aingie huku

Polisi akili zenu zinafanana. .

Naona mnafarijiana... Ila tambueni mnajidhalilisha kuwa omba omba.
 
Acheni kuwaandama polisi kwani hawa ni miongoni mwa watumishi wanao ishi katika maisha magumu na kazi yao pia ni ngumu na ya hatari sana. Nyie mnalala usiku na wake/waume zenu wao wanalala nje kwenye mbu ili madi nyie mpate usingizi mzuri na wenye amani. Daah! tuwapatie polisi sapti kwani wanafanya kazi ngumu na mazingira magumu sana hata kota zao ni changamoto nyingine

polisi ni MBWA tu...wanamlinda nani? labda wanakulinda wewe na mumeo!
 
Hawa jamaa wengi ni Failure.... Ni wagumu sana ktk kufanya maamuzi yanayohitaji akili.

polisi wengi akili zao hazitofautiani sana na akili za mateja au wavuta bangi. ni kundi la watumishi wa umma ambao ni HOPELESS na ovyo kabisa. upolisi ni kazi ya LAANA na wengi wao wanakuwa na mwisho mbaya katika maisha yao; na mara nyingi laana hiyo hurithiwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine.
 
Sitasahau siku nilisjngiziwa kesi ya wizi wa sim matokeo yake mpelelezi wa kesi aliamua kinizulum sim ya mke wangu. Na hii yote nikwavile niligoma kutoa chochote kwani ilikua ni uonevu.
 
Mkuu!

Hii ni mojawapo ya kazi ninazozichukia sana.. Wengi wao hawajui uwepo wa mungu.
 
Sitasahau siku nilisjngiziwa kesi ya wizi wa sim matokeo yake mpelelezi wa kesi aliamua kinizulum sim ya mke wangu. Na hii yote nikwavile niligoma kutoa chochote kwani ilikua ni uonevu.

Barikiel

Ilikuwaje wakakudhulumu???

Unaweza kutushirikisha kidogo???
 
Last edited by a moderator:
policcm mbona walilaaniwa kitambo ndugu yangu? polisi wa tanzania ni kama MBWA...akili zao hazitofautiani na akili za MBWA KOKO anayekula vinyesi majalalani.

tpaul

Inaelekea una HASIRA nao kinoma.
 
Last edited by a moderator:
acha kutetea UJINGA ndugu yangu, jaribu kupanua akili yako. mimi nina ndugu zangu polisi lakini nawaona kama MBWA KOKO tu...upolisi ni LAANA!

wewe ni m.k.u.n.d....pia ni zuzu, punguani na tutusa lisilojielewa huwezi kuwadharau watu kwa kuwa generalize....unaskia f.a.l.a wewe ni ofisi ngapi za uma wana mshahara mzuri kama t.r.a ila bado ni ombaomba wakubwa na wala rushwa ombaomba ni tabia ya mtu mwehu wewe
 
Kasome kazi za polisi ni zipi??acha majungu

Naona kama hujajibu swali mkuu.Mimi nimeuliza mna mkataba wowote na ccm?Ndio maana hata bungeni waliongea kuwa mnatumika vibaya kisiasa na ccm.Kumbuka hata JK aliwahi kusema kuwa wana ccm wasipambane na wapinzani kwa kutumia polisi badala yake wapambane kwa hoja.Je alikuwa ana maanisha nini?Ndio maana nimeuliza mna mkataba wowote na ccm?Usiniambie nikasome kazi za polisi.Nikazisome wapi?
 
Serikali inapopambana na tatizo la ombaomba tunaiomba isikamate tu wale ambao hawana wazaz au wanaozurura na kuomba.polisi nao wawe kwenye kundi la ombaomba.haiwezekani mishahara yao wajengee nyumba na kununulia magari halafu sisi tuwe marupurupu yao.kuna siku mambo yakibadilika watakuja juta
 
Mkuu naona unatafuta kiki tu ya thread yako, inawezekana umeota au umeamka vibaya hivyo unatafuta ahueni hata kwa kupost pumba!

Kwa taarifa yako hakuna polisi omba omba na kama umemkuta anafanya hivyo basi hua huyo ni MGOGO toka dodoma, maana yake omba omba ni jadi yake regardless of his position

Kingine kimaslahi tupo fiti tu na wala hatutegemei kuomba omba, kama ndio tupo hoi namna hiyo na wale wanaolipwa kima cha chini wanafanyaje sasa

Jaribu kukuza akili kwa kufikiria utaishije kwenye hako kachumba kako kamoja unakodaiwa kodi miezi kumi kuliko kushinda JF ukipost uharo

Mkuu embu nieleweshe, inakuaje police wanaPAKAZIA WANANCHI KESI??? TENA ZA WIZI NA MAUAJI???? wanaomba kitu kidogo usipowapa unaishia ndani!! Embu nieleweshe mkuu maana siku izi nikiwaona nahisi usalama wangu uko mashakani!! Inshort sina imani na nyie.
NB. Hii sijaiskia bali nimeishuhudia.
 
Serikali inapopambana na tatizo la ombaomba tunaiomba isikamate tu wale ambao hawana wazaz au wanaozurura na kuomba.polisi nao wawe kwenye kundi la ombaomba.haiwezekani mishahara yao wajengee nyumba na kununulia magari halafu sisi tuwe marupurupu yao.kuna siku mambo yakibadilika watakuja juta

huna akili, mbumbumbu wewe
 
Walishakalili polisi omba omba, wakati daily tuna buku sita ya kula, bank kumi na tano, ukijumlisha napata 21000, halafu nimuombe mtu hela?

Wote mnalinda benki!?
Nenda kwenye hoja pamoja na hayo maslahi bora mliyonayo km unavyodai lakini rushwa inapokewa na kuombwa vyema nanyi!!!
 
wewe ni m.k.u.n.d....pia ni zuzu, punguani na tutusa lisilojielewa huwezi kuwadharau watu kwa kuwa generalize....unaskia f.a.l.a wewe ni ofisi ngapi za uma wana mshahara mzuri kama t.r.a ila bado ni ombaomba wakubwa na wala rushwa ombaomba ni tabia ya mtu mwehu wewe

Hakika unazidi kuharibu bora ungekaa kimya! Maana kweli si wote wenye tabia ya ombaomba lakini umeonesha wewe ni wa aina gani!!!
 
Acheni kuwaandama polisi kwani hawa ni miongoni mwa watumishi wanao ishi katika maisha magumu na kazi yao pia ni ngumu na ya hatari sana. Nyie mnalala usiku na wake/waume zenu wao wanalala nje kwenye mbu ili madi nyie mpate usingizi mzuri na wenye amani. Daah! tuwapatie polisi sapti kwani wanafanya kazi ngumu na mazingira magumu sana hata kota zao ni changamoto nyingine

Njaa zao zinawafanya wafanye kazi ngumu. Ni chaguo lao hatuwajibiki kuwaonea huruma. Kama ngumu wa ache,
 
Naona kama hujajibu swali mkuu.Mimi nimeuliza mna mkataba wowote na ccm?Ndio maana hata bungeni waliongea kuwa mnatumika vibaya kisiasa na ccm.Kumbuka hata JK aliwahi kusema kuwa wana ccm wasipambane na wapinzani kwa kutumia polisi badala yake wapambane kwa hoja.Je alikuwa ana maanisha nini?Ndio maana nimeuliza mna mkataba wowote na ccm?Usiniambie nikasome kazi za polisi.Nikazisome wapi?

Ni ishara kuwa hawajui kazi zao, kazi ya polisi msingi wake ni kutumwa, na CCM au mwenye cheo
 
Ndio maana wamekaa kimya hawana hoja hapo tumewabana penyewe.Natamani jeshi la polisi lingekuwa ni idara ndani ya JWTZ heshima ingekuwemo
 
mbona mimi nimepanga kwa mmoja wao na uchumi wake imara na mpaka ameajiri watu kwenye biashara zake.umaskini na ombaomba ni tabia ya mtu mwenyewe maana kila idara wapo wala siyo upande ule tu.
 
wewe ni m.k.u.n.d....pia ni zuzu, punguani na tutusa lisilojielewa huwezi kuwadharau watu kwa kuwa generalize....unaskia f.a.l.a wewe ni ofisi ngapi za uma wana mshahara mzuri kama t.r.a ila bado ni ombaomba wakubwa na wala rushwa ombaomba ni tabia ya mtu mwehu wewe

Hizo ndizo akili za Polisi wetu....
 
Back
Top Bottom