Mzee
Platinum Member
- Feb 2, 2011
- 13,620
- 5,867
Samahani kwa nitakayemkwaza.
Nimejarbu kujiuliza hawa ndugu zetu, ni kwamba wana pepo la omba omba ama.
Ukifika ofisini wanajua umewaletea hela... Kila mmoja anakuomba. Wanaomba hadi vocha za Jero .... Hii si laana kweli.
Ukikutana nao Bar ujue jukumu la kuwalewesha ni lako.... Hivi hawa jamaa hawana aibu ama???.. Kukosa aibu ni aina ya laana pia.
Wakipanda kwenye dalala nauli 300/= hawataki kulipa .. Wanataka kuonewa huruma... Hizi akili tegemezi itakuwa ni laana ama¿¿¿¿¿
Hawa jamaa hadi tunawakwepa. Maana ukiwa na ukarbu ujue majukumu ya kulea familia yake anakukabidhi..... Hii ni laana¿¿
Polisi kuweni na akili zilizojaa, Acheni kuwa na akili tegemezi.
Samahani Sana