Ditektivu Konstebo
Member
- May 4, 2015
- 8
- 3
!
!
polisi wana njaa mno aisee
Wewe ndio una njaa, na usivyo na akili badala hiyo jero ununue japo chapati unanunua mb
!
!
polisi wana njaa mno aisee
Kabisa mkuu.....sasa hivi tunapesa ndo maana tunatembelea magari show za bnk wiki tu nina laki na nusu...maboresho kibao..usikute tunaweza kumlisha yeye na kafamilia kao,,,hawajiulizagi kwa nini dada zao wanatupenda kwel kweli.
hivi inakuwaje mnakubali kutumika vibaya na ccm?mfano huko arusha polisi wanatumika kisiasa kuvuruga bvr.kwani kazi yenu inafungamana au ina mkataba maalumu na chama cha mapinduzi?
Hayupo polisi wakuchukua mke wangu,hata kova hawezi.
kalaaniwa mama yako...t.u.t.u.sa mshenzi, ndorooobo wewe
Mkuu naona unatafuta kiki tu ya thread yako, inawezekana umeota au umeamka vibaya hivyo unatafuta ahueni hata kwa kupost pumba!
Kwa taarifa yako hakuna polisi omba omba na kama umemkuta anafanya hivyo basi hua huyo ni MGOGO toka dodoma, maana yake omba omba ni jadi yake regardless of his position
Kingine kimaslahi tupo fiti tu na wala hatutegemei kuomba omba, kama ndio tupo hoi namna hiyo na wale wanaolipwa kima cha chini wanafanyaje sasa
Jaribu kukuza akili kwa kufikiria utaishije kwenye hako kachumba kako kamoja unakodaiwa kodi miezi kumi kuliko kushinda JF ukipost uharo
Wewe ndio una njaa, na usivyo na akili badala hiyo jero ununue japo chapati unanunua mb
Wakifungana na magari barabarani au foleni za kwenda mjini zikizidi eeee polisi wako wapi watuvute.....
Mkileta ujinga mkipigwa mnasema laana mkiibiwa eee polisi tusaidieni
Acheni kuwaandama polisi kwani hawa ni miongoni mwa watumishi wanao ishi katika maisha magumu na kazi yao pia ni ngumu na ya hatari sana. Nyie mnalala usiku na wake/waume zenu wao wanalala nje kwenye mbu ili madi nyie mpate usingizi mzuri na wenye amani. Daah! tuwapatie polisi sapti kwani wanafanya kazi ngumu na mazingira magumu sana hata kota zao ni changamoto nyingine
Acheni kuwaandama polisi kwani hawa ni miongoni mwa watumishi wanao ishi katika maisha magumu na kazi yao pia ni ngumu na ya hatari sana. Nyie mnalala usiku na wake/waume zenu wao wanalala nje kwenye mbu ili madi nyie mpate usingizi mzuri na wenye amani. Daah! tuwapatie polisi sapti kwani wanafanya kazi ngumu na mazingira magumu sana hata kota zao ni changamoto nyingine
Mkuu naona unatafuta kiki tu ya thread yako, inawezekana umeota au umeamka vibaya hivyo unatafuta ahueni hata kwa kupost pumba!
Kwa taarifa yako hakuna polisi omba omba na kama umemkuta anafanya hivyo basi hua huyo ni MGOGO toka dodoma, maana yake omba omba ni jadi yake regardless of his position
Kingine kimaslahi tupo fiti tu na wala hatutegemei kuomba omba, kama ndio tupo hoi namna hiyo na wale wanaolipwa kima cha chini wanafanyaje sasa
Jaribu kukuza akili kwa kufikiria utaishije kwenye hako kachumba kako kamoja unakodaiwa kodi miezi kumi kuliko kushinda JF ukipost uharo
Mkileta ujinga mkipigwa mnasema laana mkiibiwa eee polisi tusaidieni
Samahani kwa nitakayemkwaza.
Nimejarbu kujiuliza hawa ndugu zetu, ni kwamba wana pepo la omba omba ama.
Ukifika ofisini wanajua umewaletea hela... Kila mmoja anakuomba. Wanaomba hadi vocha za Jero .... Hii si laana kweli.
Ukikutana nao Bar ujue jukumu la kuwalewesha ni lako.... Hivi hawa jamaa hawana aibu ama???.. Kukosa aibu ni aina ya laana pia.
Wakipanda kwenye dalala nauli 300/= hawataki kulipa .. Wanataka kuonewa huruma... Hizi akili tegemezi itakuwa ni laana ama¿¿¿¿¿
Hawa jamaa hadi tunawakwepa. Maana ukiwa na ukarbu ujue majukumu ya kulea familia yake anakukabidhi..... Hii ni laana¿¿
Polisi kuweni na akili zilizojaa, Acheni kuwa na akili tegemezi.
Samahani Sana
CCM Wana dhambi kubwa sana!
Anyway, mkuu mimi hujanikwaza kwa utafiti wako kwani uko sahihi isipokuwa huo uandishi wa kuning'ing'iza alama ya viulizo ndio tatizo!
very true kaka, utalikuta lijitu linapondia hvyo alafu kuna ndugu zake polisi, au yeye mwenyewe kula kulala na anatamani aingie huku