Swali: Taaluma ya Upolisi ama Polisi wamelaaniwa?

Swali: Taaluma ya Upolisi ama Polisi wamelaaniwa?

Inakera sana baadhi yao wanapokuwa omba omba wakati wana mishahara na posho wanatia aibu kama maisha magumu kila mtu ana maisha magumu waibane serikali iwaboreshee maslai na si kuomba omba.
 
Sio laana Mzee!.Ni khali ngumu ya maisha sio wanapenda ila wanashindwa wafanyeje.!.ila ushauri wangu shughuli zipo nyingi za kufanya.Natoa mfano kuna rafiki angu ila siwezi kumtaja humu ni askari huyu jamaa huwezi kudhania kuwa ni askari ni fundi huyu jamaa alikuja nyumbani kwangu kunifungia dishi nilipewa namba tu kweli alifanya kazi fresh na akaondoka alitaka 30000 nikalia kama kawaida yetu wa bongo akapunguza hadi 25.akaenda zake siku nimepoteza reseni yangu nimekwenda pale kituoni kwa ajili ya loss report nikamkuta yule jamaa nikahisi labda nimefananisha kwa kuwa alikuwa ndani ya gwanda.nikatoa simu yangu wakati ye hanioni nikabip kucheki hivi kiwiziwizi nikaona anaingiza mkono mfukoni anatoa simu nikakata.Kweli nikaamini ni yeye nikamfuata nikamsalimia kweli alinikumbuka tena akanisaidia nikafanyiwa faster sikupanga foleni nilipotoka kiaibu aibu nikampa buku tano alikataa kabisa ile pesa nilishangaa sana.kama kawaida mi nimfuatiliaji sana nikapata undani wa yule Polisi kumbe ni Fundi mzuri sana na anajina kubwa sana hapa Mjini.nilichojifunza Polisi kuwa omba omba ni hulka yao na uvivu wa kufikiri!.


Wengi wana maisha mazuri lkn ukikutana nao ni omba omba..

Hadi najiuliza hawa jamaa wamelaaniwa ama.... Huyo mmoja uliyekutana naye amebarikiwa kujitambua.
 
Kabisa mkuu.

Akibakwa akomae na mbakaji wake mpaka kieleweke.

Kwa hili polisi lazima ujumbe utawafikia kuwa raia hawaoni umuhimu wao.

Polisi wanalipwa kwaajili ya kitulinda....

punguzeni kuomba omba.
 
Inakera sana baadhi yao wanapokuwa omba omba wakati wana mishahara na posho wanatia aibu kama maisha magumu kila mtu ana maisha magumu waibane serikali iwaboreshee maslai na si kuomba omba.


Hawa jamaa wanajifukarisha sana.
 
Polisi wanalipwa kwaajili ya kitulinda....

punguzeni kuomba omba.

Yeyote akiwa kinyume na mawazo yako basi ni polisi!!!,embu pevuka ubongo wako.

Nakuuliza tena kama unadhani wana mishahara tena mirefu na posho,wanapokuomba jero unawapa ya kazi gani???kama sio kujipendekeza???

Then unakuja kulilia mia tano yako humu!!!!mi naona hata wewe unayewapa umelaaniwa pia.
 
Mishahara wanalipwa kwa kazi hiyo mkuu, sio ya bure
Trafic Light zipo chini ya miundo mbinu na sio polisi na ndio zinatakiwa kuongoza magari..kazi ya polisi ukipita taa nyekundu anakushugulikia kwa mujibu wa sheria
 
Watu wanapenda kujipendekeza kwa mapolice eti siku akipata tatizo asaidiwe kwa haraka. upuuzi mtupu
 
Kujenga hawajengi na kuomba wamezid sasa najiulizaga hiv pesa wanafanyia nn hawa jamaa au mishahara yao ni midogo mnoooo.???!!!
 
Back
Top Bottom