Swali: Taaluma ya Upolisi ama Polisi wamelaaniwa?

Swali: Taaluma ya Upolisi ama Polisi wamelaaniwa?

Serikali inapopambana na tatizo la ombaomba tunaiomba isikamate tu wale ambao hawana wazaz au wanaozurura na kuomba.polisi nao wawe kwenye kundi la ombaomba.haiwezekani mishahara yao wajengee nyumba na kununulia magari halafu sisi tuwe marupurupu yao.kuna siku mambo yakibadilika watakuja juta

JF Kisima Cha Burudani .. Umenichekesha kinoma.
 
mbona mimi nimepanga kwa mmoja wao na uchumi wake imara na mpaka ameajiri watu kwenye biashara zake.umaskini na ombaomba ni tabia ya mtu mwenyewe maana kila idara wapo wala siyo upande ule tu.

Swala ni kwanini wanakuwa Omba Omba...??
 
mimi nafikiri sababu hasa ya watumishi wa umma hasa vidagaa kama hao polisi wadogo na wengine katika idara zingine kupokea rushwa ni hiz serikali kupitia taasisi yake takukuru imeshindwa kuwadhitii mapapa wa rushwa hivyo hao wadogo wanapata kiburi kwasababu matundu ya nyavu ni makubwa sana hata papa anasi. Ila tukumbuke rushwa ilanza tokea enzi za kina yesu. Kataa kutoa rushwa ili haki itendeke.ila na wewe punguza kusema afande tuongee pembeni maana namba kubwa ya watu huwa wanabembeleza afande apokee rushwa kumbuka pesa hazigombani mfukoni hata kama atakuwa nazo lori mia.dawa ni hii waweke mtego wa kuwakamata watoa rushwa angalau wawili tu na wapelekwe mahakamani na itangazwe kwenye media ili watoa rushwa wengine waogope ila kwa mbinu ya kumkamata mpokeaji tu rushwa haitapungua kabisa tz.
 
polisi hatukani wateja wake huyo atakuwa amejibebesha upolisi tu ili awafedheheshe polisi ili waonekane polisi hawawezi kufikiri .nijuavyo mimi polisi wametukanwa sana wakiwa mafunzoni hivyo matusi haoni kama silaha ya kumnyamazisha mtu au kumtishia m
 
una uhakika gani mm ni polisi k wewe!

Pitia comments zako utaona, kwa akili ya kawaida kabisa kama huhusiani na huo Upolisi usingeandika ulichoandika. Vinginevyo utakuwa na tatizo kubwa zaidi katika mfumo wake wa kufikiri......
 
Hii kazi ndio namba 1 kwa kula - riziki tele hata mshahara hawana habar nao

una uhakika gani mm ni polisi k wewe!

Toka mwanzo komenti zako ni za kiPolisi.....

Kwa wazoefu hata miandiko tu tunajua hii ni ya Polisi.... Maana shule ni wale waliokuwa wa mwisho... Hivyo hata miandiko yao ni mibaya.
 
Hayo ni mawazo yako ambayo ni finyu@ mathabane, me sioni kaI wanayofanya, watu wanapopata tatizo wakipigiwa cm kama watawahi sana, basi watafika baada ya masaa mawili, mara nyingine gari halina mafuta, huko ni kuwalinda raia
 
Toka mwanzo komenti zako ni za kiPolisi.....

Kwa wazoefu hata miandiko tu tunajua hii ni ya Polisi.... Maana shule ni wale waliokuwa wa mwisho... Hivyo hata miandiko yao ni mibaya.

acha ku comment utumbo....polisi anaweza alipwe hela ndogo japo sio hvyo ila akawa na maendeleo zaidi ya wewe unaelipwa mamilioni, ndio hao mwisho wa siku mkiona maendeleo yao mnasema, wanakula rushwa....pia kuna polisi kibao wenye elimu na ujuzi wao sio unakariri kua kila aliyeenda polisi ni form 4
 
Angalau hapa hujatukana........
 
acha ku comment utumbo....polisi anaweza alipwe hela ndogo japo sio hvyo ila akawa na maendeleo zaidi ya wewe unaelipwa mamilioni, ndio hao mwisho wa siku mkiona maendeleo yao mnasema, wanakula rushwa....pia kuna polisi kibao wenye elimu na ujuzi wao sio unakariri kua kila aliyeenda polisi ni form 4

Maendeleo sio Mali ndugu, ustaarabu na mahusiano mazuri na Jamii inayokuzunguka ni bora zaidi kuliko Mali za dhuluma
 
Watu wengi wana maisha magumu mkuu, wao badala ya kujaribu uwezekano wa serikali waongezee maslahi yao, wanakomaa kuwaumiza masikini wenzao. Hivi makondakta, waendesha bodaboda na kina mama ntilie nani ana afadhali ya maisha, mbona wenyewe wanaweka mirija kwenye vipato vya wenzao wanvyosotea kuliko wao. Unajua konda na dereva wake wanaamka na kulala saa ngapi? Alafu anakuja mtu anabeba jasho lao!![hawajamaa wanajidhalilisha,afu wanatukera]
 
Sidhani kama ni msaada, tunachangia kodi na takataka nyingi sana kuliwezesha jeshi la polisi liweze kuendesha shughuli zake. Wangekua wanatimiza wajibu wao vizuri hao wahalifu hawakupaswa kutughasi na kuweka rushwa mbele kumeongeza tatizo, pamoja na tatizo la miundombinu lakini hawa jamaa pia ni tatizo, unaweza mkuta anahangaika kupiga bao daladala wakati anaeongoza magari hamna, polisi na mahakama kwenye rushwa ni tatizo linalohitaji tiba ya dharura. Lakini sisi wananchi pia tunachangia tatizo, sometimes sehemu ya kukomaa tunawachekea, mtu anachukua funguo ya gari unakua mnyonge!!

Polisi jirekebisheni, mtaendelea kuwa kundi la kutengwa hadi lini?
Ili tusiwachekee ukivamiwa na majambazi usipige simu polisi wee komaa nao tu na ukikwanguliwa na dcm wala usiwatafute wee komaaa tu
 
acha ku comment utumbo....polisi anaweza alipwe hela ndogo japo sio hvyo ila akawa na maendeleo zaidi ya wewe unaelipwa mamilioni, ndio hao mwisho wa siku mkiona maendeleo yao mnasema, wanakula rushwa....pia kuna polisi kibao wenye elimu na ujuzi wao sio unakariri kua kila aliyeenda polisi ni form 4

Sijasema Polisi hawana Maendeleo...

Swali ni kwanini Polisi wamegeuka kuwa Omba Omba????
 
Acha kudhalilisha kazi za watu,ina maana wezi wote wa escrow nao ni police?
 
Back
Top Bottom