Swali: Kwa baadhi ya wasichana, Hivi huwa wana rational thinking?

At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
4,513
3,554
Habari,
Samahani leo nimepata kujiuliza hilo swali, hii ni kutokana na wasichana omba omba hivi huwa wanatumia akili gani kuwaza mpaka kufikia hatua kuomba? Hivi wako na rational thinking? Mtu from no where kisa mna mazoea kidogo anakuomba pesa, kisa sijui ulimtaka lakini kakukazia.

Wengine hata haya hana kila ukimuambia hana anarudia tena unamwambia hana pia anarudi tena. Hata haya hawanaga hawa viumbe baadhi!

Nb: mimi sijawahi toa zaidi ya elfu nne kwa msichana asie ndugu yangu.

Kama ni bangi naomba msinipopoe mnielekeze kwa upole maana niko emotional.

Niwatakie heri ya mwaka mpya ujao wa 2023, ukawe wa baraka na mafanikio kwa kila atakaeufikia kwa kudra za Mungu.
 
Kazi na umri. Kama miaka 20 kushuka fresh tu lakini Kama zaidi tafta hela uhonge bila kuhonga hutapata piskali. Sawa?
 
Nilikua na Binti mmoja wa kichina, akaniambia I find something very strange here, kids are beging for food.
Even matured ask for money, hapo hakuongelea jinsia. Akasema kwao wanafundishwa kuwa independent tangia wakiwa watoto.

Huku kwetu tutasingizia mabinti lakini hulka ya kuombaomba imetuathiri sana kama taifa. Matokeo yake kama nchi tunaomba sana misaada na mikopo inayotuumiza. Tatizo linaanzia mbali sana kwenye misingi ya malezi. Tubadili namna tunawalea watoto wetu.
 
kazi naumri.kama miaka20 kushuka freshtuu lakini Kama zaidi tafta hela uhonge bila kuhonga hutapata piskali.sawa?
Bado sijapata. Natafuta kibarua niko Mkuranga. unaweza nisaidia kama uko nacho ili nifaidi pisi kali.
 
Back
Top Bottom