Swali: Taaluma ya Upolisi ama Polisi wamelaaniwa?

Swali: Taaluma ya Upolisi ama Polisi wamelaaniwa?

Ili tusiwachekee ukivamiwa na majambazi usipige simu polisi wee komaa nao tu na ukikwanguliwa na dcm wala usiwatafute wee komaaa tu


Hapa tunahamasisha uwajibikaji...
 
Kama sio Laana mtu mzima unawezaje kuomba Buku..


Askari punguzeni njaa... Mnajidhalilisha.
 
Ili tusiwachekee ukivamiwa na majambazi usipige simu polisi wee komaa nao tu na ukikwanguliwa na dcm wala usiwatafute wee komaaa tu

Mkuu soma mwanzo wa post yangu, huo sio msaada bali ni wajibu wao na hawakupaswa kuomba rushwa, kwanini wao ombaomba kwenye wajibu wao?
 
Kama sio Laana mtu mzima unawezaje kuomba Buku..


Askari punguzeni njaa... Mnajidhalilisha.

Unadhani wataacha sasa??hawaachi sababu wabongo ni watu Wa kutaka kurahisisha mambo hata pasipokuwa na ulazima.

Nikikuuliza unapoombwa buku au jero na traffic police unampa ya nini???

Yaani unampa alafu unalia wewe!!!usimpe simple.
 
Sijasema Polisi hawana Maendeleo...

Swali ni kwanini Polisi wamegeuka kuwa Omba Omba????

ombaomba ni tabia binafsi ya mtu nataka njibu swali lifuatalo....ma hr, tra, tanesco na sekta zingine nyingi za serikali nazo ni POLISI?....bz hao ndio wamezidi....
 
ombaomba ni tabia binafsi ya mtu nataka njibu swali lifuatalo....ma hr, tra, tanesco na sekta zingine nyingi za serikali nazo ni POLISI?....bz hao ndio wamezidi....


Polisi wamezidi.... Hata jero wanaomba.
 
Me nadhani kuwa omba omba ni hali ya mtu binafsi, mtoa mada amefanya generalization sidhani kama polisi wote wapo ivo, kama amefanya generalization hiyo basi aifanye kwa watumishi wote, other wise yupo biased.
 
Mkuu embu nieleweshe, inakuaje police wanaPAKAZIA WANANCHI KESI??? TENA ZA WIZI NA MAUAJI???? wanaomba kitu kidogo usipowapa unaishia ndani!! Embu nieleweshe mkuu maana siku izi nikiwaona nahisi usalama wangu uko mashakani!! Inshort sina imani na nyie.
NB. Hii sijaiskia bali nimeishuhudia.

Toa uthibitisho, maana hizo allegations huwa ni za kufikirika tu, kama kuna sehem ulishuhudia ulivhukua hatua gani? Try another lie
 
Mifumo ya mishahara ya Tanzania usipokuwa mwangalifu, utafanya hiki wanachofanya polisi. Sad we do not have a living wage rather a surviving wage, japo humohumo kuna watu wako peponi Na marupurupu kibao, watu wanalipiwa Umeme, maji, simu, wanapewa hela za kununua furniture etc etc. vyama vya wafanyakazi vipo kimya kwa tofauti hii kubwa ya kipato. Ndiyo maana polisi wameamua kujitoa ufahamu. Mbona zamani wazee wetu mishahara iliweza kukutana?
 
Hata we unayempa Polisi hela nawe UKAPIMWE AKILI.Mfundishe namna ya kupata fedha kihalali nje ya mshahara!
 
Sio laana Mzee!.Ni khali ngumu ya maisha sio wanapenda ila wanashindwa wafanyeje.!.ila ushauri wangu shughuli zipo nyingi za kufanya.Natoa mfano kuna rafiki angu ila siwezi kumtaja humu ni askari huyu jamaa huwezi kudhania kuwa ni askari ni fundi huyu jamaa alikuja nyumbani kwangu kunifungia dishi nilipewa namba tu kweli alifanya kazi fresh na akaondoka alitaka 30000 nikalia kama kawaida yetu wa bongo akapunguza hadi 25.akaenda zake siku nimepoteza reseni yangu nimekwenda pale kituoni kwa ajili ya loss report nikamkuta yule jamaa nikahisi labda nimefananisha kwa kuwa alikuwa ndani ya gwanda.nikatoa simu yangu wakati ye hanioni nikabip kucheki hivi kiwiziwizi nikaona anaingiza mkono mfukoni anatoa simu nikakata.Kweli nikaamini ni yeye nikamfuata nikamsalimia kweli alinikumbuka tena akanisaidia nikafanyiwa faster sikupanga foleni nilipotoka kiaibu aibu nikampa buku tano alikataa kabisa ile pesa nilishangaa sana.kama kawaida mi nimfuatiliaji sana nikapata undani wa yule Polisi kumbe ni Fundi mzuri sana na anajina kubwa sana hapa Mjini.nilichojifunza Polisi kuwa omba omba ni hulka yao na uvivu wa kufikiri!.
 
Ili tusiwachekee ukivamiwa na majambazi usipige simu polisi wee komaa nao tu na ukikwanguliwa na dcm wala usiwatafute wee komaaa tu

Kabisa mkuu.

Akibakwa akomae na mbakaji wake mpaka kieleweke.

Kwa hili polisi lazima ujumbe utawafikia kuwa raia hawaoni umuhimu wao.
 
Back
Top Bottom