baadhi ya polisi hawana maadili ya kazi yao.
wanachukua rushwa kwa mlalamikaji na mtuhumiwa, ivyo kuleta ubabaishaji.
Samahani kwa nitakayemkwaza.
Nimejarbu kujiuliza hawa ndugu zetu, ni kwamba wana pepo la omba omba ama.
Ukifika ofisini wanajua umewaletea hela... Kila mmoja anakuomba. Wanaomba hadi vocha za Jero .... Hii si laana kweli.
Ukikutana nao Bar ujue jukumu la kuwalewesha ni lako.... Hivi hawa jamaa hawana aibu ama???.. Kukosa aibu ni aina ya laana pia.
Wakipanda kwenye dalala nauli 300/= hawataki kulipa .. Wanataka kuonewa huruma... Hizi akili tegemezi itakuwa ni laana ama¿¿¿¿¿
Hawa jamaa hadi tunawakwepa. Maana ukiwa na ukarbu ujue majukumu ya kulea familia yake anakukabidhi..... Hii ni laana¿¿¿¿
Polisi kuweni na akili zilizojaa, Acheni kuwa na akili tegemezi.
Samahani Sana.
kalaaniwa mama yako...t.u.t.u.sa mshenzi, ndorooobo wewe
sindo vizurii sasabaadhi ya polisi hawana maadili ya kazi yao.
wanachukua rushwa kwa mlalamikaji na mtuhumiwa, ivyo kuleta ubabaishaji.
Mkuu naona unatafuta kiki tu ya thread yako, inawezekana umeota au umeamka vibaya hivyo unatafuta ahueni hata kwa kupost pumba!
Kwa taarifa yako hakuna polisi omba omba na kama umemkuta anafanya hivyo basi hua huyo ni MGOGO toka dodoma, maana yake omba omba ni jadi yake regardless of his position
Kingine kimaslahi tupo fiti tu na wala hatutegemei kuomba omba, kama ndio tupo hoi namna hiyo na wale wanaolipwa kima cha chini wanafanyaje sasa
Jaribu kukuza akili kwa kufikiria utaishije kwenye hako kachumba kako kamoja unakodaiwa kodi miezi kumi kuliko kushinda JF ukipost uharo

Mbona umechelewa kujua hili!!!!!
Polisi wana roho mbaya kama kinyesi,sjui kwanini.tatizo yakisoma humu ndio yanaenda kuzidisha ili myaongelee.yanapenda sifa.
kabisa mkuu.....sasa hivi tunapesa ndo maana tunatembelea magari show za bnk wiki tu nina laki na nusu...maboresho kibao..usikute tunaweza kumlisha yeye na kafamilia kao,,,hawajiulizagi kwa nini dada zao wanatupenda kwel kweli.
Vipi wamechukua mke wako nini..
Hayupo polisi wakuchukua mke wangu,hata kova hawezi.
hivi inakuwaje mnakubali kutumika vibaya na ccm?mfano huko arusha polisi wanatumika kisiasa kuvuruga bvr.kwani kazi yenu inafungamana au ina mkataba maalumu na chama cha mapinduzi?