This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,911
- 4,993
Hivi vipindi vinarushwa bure au Tibisii wanafanya biashara.Umeenda mbali sana, inawezekana wakawa wanatumika bila wao kujua kama wanatumika.
Japo I highly doubt that kwani TBC ipo kwa ajili ya umma wa watanzania na Waislamu na Wakristu ni moja ya makundi makubwa yaliyopo.
Mfano. Siku kama ya leo Ijumaa Waislamu (kundi mojawapo) ndio huswali na lugha kuu inayotumika kwenye dini yao ni kiarabu, this is the reality we should face it is worldwide otherwise walazimishwe kubadili lugha which is not possible, coz watakuwa tofauti na wenzao duniani.
Same kwa wakristu siku ya jumapili nao hurushwa hewani bahati nzuri kwao lugha inayotumika ni kiswahili, I think this to you is not a problem.
Hicho kimekuwa intended kuwafikia walengwa pekee, ni kweli usemavyo Tanzania/serikali haina dini, lakini pia ukumbuke watu wake wana dini zao.
Hili naona tulikubali tu halikwepeki, au kama wataka kuondolewa vipindi vya dini TBC basi viondolewe vyote bila kujali lugha inayotumika.