Swala la wanaume kuwapiga wanawake; nini mbadala wake?

Swala la wanaume kuwapiga wanawake; nini mbadala wake?

Na nyie wanaume mlete muongozo, mkileta ushenzi mfanywe nini? sio sisi tu ndo tunaokosea.

Ukiona unakwazika umasepa tuu kiroho swafi

Mwanaume hawezi kukaa ma mwanamke asie naaadili
 
Mimi simpigi mke wangu maana sijawahi kuona kosa la kunifanya nimpige na siku ikitokea sijajua litakua ni kosa la aina gani japo siombei mabaya yatokee.

Lakini pamoja na yote natambua wanawake wana maudhi mengi na sio kila anayempiga mwanamke basi hua amedhamiria, mwingine inatokea kakasirika kupita kiasi na panic anajikuta kamzaba vibao mke wake, hii haina tofauti na mtu yeyote hata mwalimu shuleni anajikuta kakasirika na kupanic anampiga vibao mwanafunzi, hasira zikiisha anakumbuka kwamba kilichofanyika kilikua ni over reacting na anaweza kumuomba mwanafunzi samahani.

Ushauri wa bure ni kujiepusha kuongea au kujibishana na mkeo pindi unapokua na hasira maana anaweza kukujibu ovyo ukajikuta umetenda kitu cha ajabu sana.

Ukikasirika kaa kimya, tulia au ondoka rudi baadae lazima utakua umepoa. Kama kuna ulazima wa kumuuliza unaweza kumuuliza kama sio lazima potezea, piga msosi, mvutie time omba game, hasira zote zinapotea ukipiga game[emoji23] [emoji23]

Nakuhakikishia "Game trick kills anger"

Nimekusoma Kaka, duh, ila wangu kwenye ugomvi? game? sidhani, atakupa design ya kichaga, "KULA UKIMALIZA FUNIKA MIMI NIAMKE MAPEMA NIKAKATIE NGOMBA MAJANI"
 
Kutype ni rahisi sana
Mkuu, unajua nini wengi wanaochangia awapo kwenye ndoa ndio maana wanaongea ongea tuu. Awajui kama wazazi wao machumbani wanapeana kisago ikifika wapo sebureni unaona kama who fresh kumbe washazinguana sana
 
Wewe ukifanya madudu nani anakupiga?! That's sexual assault and its an act or omission punishable by the law, sema mmeoa vilaza. Ukiwa na strong, independent woman huwezi mletea tabia za kienyeji enyeji, unashtakiwa faster, na uki-file divorce unaambulia kurudi kwenu na mashuka tu.

Mpk unafika hatua ya kumpiga mwanamke jua kuna wajibu wako fulani hutimizi, mwanamke anaenda kutimiziwa kwa wadau wengine, ambao mara nyingi hua wanasimamia shoo kwa ustadi wa hali ya juu.
Mkuu hapa ni bongo....sio vancuver...hapa anagongwa kisawasawa na yeye ndio anarudi kwao na mashuka...independent woman maulaya na america sio hapa kwa kina bashite
 
Sijaoa lkn nina uzoefu na Wanawake, kama uko vizuri kwenye sex na unamfikisha fresh hawezi ku kukuzingua, kila kitu kipo hapo kwenye Sex, ukiona anakuzingua ujue haumridhishi hivyo anajaribu kuwasiliana na wewe kivingine kwamba ongeza game,...

Kama ujaoa huna uzoefu na wanawake, Peleka upumbavu huko. Ukishaoa utajua mambo mengi!!!!
 
Ukiona Mwanamke hakuheshimu kuna mawili aidha una Kibamia au haujui game ya sex hivyo haumridhishi na kumpiga haisaidii, jifunze kupiga miti vizuri!
Wafrika tunawaza ngono zaidi, ndoa ni zaidi ya ngono.

Ume-generalize sana kupitia ngono, kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha mkeo nawewe mtofautiane sio kibamia wala show zako.
 
Mwananmke ni kiumbe dhaifu, unapompiga na kumsababishia majeraha mwilini unakuwa hujamfanyia FAIR
Akikukosea ni afadhali umpige dushe tu, hata kama kwa siku akikukosea mara tatu[emoji34] "WE MPIGE DUSHE TU"
Uone kama hatokaa sawa [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Kwa nn mnawadharau sana wanawake?? Udhaifu wao ni upi? Unajua mwanamke ana nguvu na ushawishi kuliko mwanaume?unajua ubongo wa mwanamke unatoa umeme 24/7 tofauti na mwanaume?unajua mwanamke ndio anaeishikilia ndoa yako?unajua mwanamke ndie anaamua kukuzalia mtoto? Udhaifu wake ni upi?? Unajua tofauti ya mwanaume na mwanamke tofauti na maumbile?? Aisee chunguza vzr utajua nguvu ya mwanamke ilivyo,ili jamii iwe salama ujue ni mwanamke anaamua,ili wanao wawe na maadili na heshima mwanamke ndio mkuu,,sekta pekee au ugonjwa unaomsumbua mwanamke ktk ulimwengu huu ni sekta ya KUCHAGUA[/[color] na atakapofanikia ktk sekta hyo dunia itakua salama zaid.. Usimdharau mwanamke sababu mwanamke ni kichwa...
 
Yaani wanawake!!!!!!
Wangu shida wala sio show, wala matunzo, ila ni muongo, mpska hata vitu ambavyo sio vya kuongopa atasema uongo.
Nimempiga mpaka nahisi kuumiza ila haachi uongo
 
Tukiwaletea ushenzi mtupende zaidi, hicho ndicho kipigo cha mwanamke.

Ukinipiga, narara na wewe mbere.
 
Inasikitisha sana mwanaume unapojitapa kwa ajili ya kuuhalalisha unyanyasaji. Inatakiwa mjue kipigo akifundishi zaidi ya kukomaza na kupunguza mapenzi kwa anayekupenda.
 
Mwanamke ni kama mtoto usipo mpiga anakupanda kichwani na atajiona yeye ni zaidi yako na atakuonyesha dharau mpaka mwiaho. Na sisi wanaume tuwe na msimamo mwanamke akiona hataki kupigwa na anajua ni udhalilishaji kwa nn asimtii mwanaume? Ukiingia kwenye 18 zako piga akienda kukushitaki mahakamani ajue ndo taraka yake inafuata . maana wanakera sana hawa viumbe ila wakichezea mkong'oto wanakuwaga na adabu hatari
Leo wanawake ndio kama watoto uh!! I thot wanaume ndio kama watoto, ila likija suala la kupiga mambo yanabadilika, hizo nguvu mpigane na pesa.
 
Ni hulka ya wafrika kufikiria ngono ndio chanzo cha watu kuoana na kuleta furaha ya ndoa


Ndoa ni neno la kistaarabu maana yake Sex iliyohalalishwa tu, lkn nature ya Binadamu haibadiliki, Mwanamke yoyote yule kama unamsex fresh na anaridhika kero zote zinaisha, ukiona anakuzingua usimpige wee ongeza game, hiyo imenisadia sana kwa demu wangu, sasa hivi nimeshamjulia, Dawa ni dushe tu ukimfikisha hata hela kwako hahitaji!
 
Back
Top Bottom