Swala la wanaume kuwapiga wanawake; nini mbadala wake?

Swala la wanaume kuwapiga wanawake; nini mbadala wake?

Nina mke na watoto wawili .... nipo kwenye ndoa for 7 years, mke wangu ananiheshimu vizuri, sijawahi hata kumpiga kofi mara moja. Kama kwa kauli wananisikiliza nampigia nini? MTU MZIMA apigwi. naweza chimba mkwara nyumba ikanyamaza week nzima, kupiga ni UJINGA TENA SANA! ikitokea imefikia level siwezi kaa bila kumpiga ndoa itakuwa chali ... imefikia mwisho.
Huo ushauri wa kumwambia mtu aache mke wake umekaaje sasa kama kweli una mke
 
Habar wakuu.
Jana nilikua naangalia kipindi flani kwenye TV wanapinga na kuona ni ukatili na unyanyasaji Wa kijinsia kumpiga Mwanamke...
Wanawake siku izi wa
mekua na madudu mengi sana mpaka wanatia hasira....Mimi juzi tuu nimetoka kutoa kichapo cha maana na Mwanamke amerudi kwenye mstar....
Naombeni mawazo yenu tafazar tisiwapige wanawake tuwafanye nini sasa
Na wanawake kama mnasoma uzi huu ...mtupe mwongozo tuwafanye nini mnapotuletea ushenz::

Ukiona Mwanamke hakuheshimu kuna mawili aidha una Kibamia au haujui game ya sex hivyo haumridhishi na kumpiga haisaidii, jifunze kupiga miti vizuri!
 
Huo ushauri wa kumwambia mtu aache mke wake umekaaje sasa kama kweli una mke

Hii ni yangu mwenye, Kuliko kumpiga mtu ninayeishi naye kama mke, kama amefanya kosa linalostahili kumpiga nitamwacha. Shida Wa Tanzania wanapiga hata chumvi ikizid kwenye mboga, au kachelewa fungua mlango, huu ni Ujinga uliopitiliza. Kwa kuamini kwamba ukimpiga mtu mzima anabadilika kwa sababu ya kipigo, sio kwa sababu katambua kosa lake, ninaamini kwamba kumpiga then sio solution!
 
Na nyie wanaume mlete muongozo, mkileta ushenzi mfanywe nini? sio sisi tu ndo tunaokosea.
Kwa kifupi ni kwamba mwanamke anayeitaji Muongozo akae kwa wazazi wake ampe hiyo miongozo yake. Mwanamke katika ndoa bila kupigwa makonzi na mkong'oto anaweza akakuacha umelala anaenda kufanya mapenzi chumba cha jirani. Wanawake akili zao wanazijua wenyewe, angalia wanawake wengi wasomi na wanaopenda kuoji katika family wengi wameachika. Mfano wale makungwi wengi wanaofunda mabinti wengi tayari ndoa zilishawashinda, lakini ukitaka akupe maelekezo ya nn kufanya katika ndoa wanasaidia sana kukupa cha kufanya ili kunusuru ndoa yako isiachike. Cha Msingi eshima ya mwanamke na kufata mwanaume akitakacho kukitimiza ufanikiwa kukaaa katika ndoa.
Kama mwanamke unataka mashindano ujue ndoa utaisikia katika bomba. Na Kingine wanawake wengine wanajidai hoo nimechoka kufanya mapenzi ujue ndoa unaihatarisha, mwanamke utakiwi kuchoka katika ndoa, hasa hasa linapokuja suala la mapenzi.
 
Asee mimi nilikua mmoja wa watu ambao walikua hawaelewi kabisa nikiona au kusikia jamaa amepiga mwanamke.... Yakanikuta siku moja... nikapiga na adabu ikawepo (tuelewane hapa... I am not proud of what I did and in fact I apologised to her lakini nasema sitashangaa kuona mwanamke kapigwa... sometimes there is a strong reason behind hicho kipigo)
Samahini kwa mchanganyo wa lugha.

Ukiona Mwanamke anakuzingua ujue anaona hauko vizuri kitandani, Wanaume tunaooiga Dusche fresh hatujawahi kupiga Mwanamke wala kudharauliwa kwanza ndiyo tunapendwa!
 
Mwananmke ni kiumbe dhaifu, unapompiga na kumsababishia majeraha mwilini unakuwa hujamfanyia FAIR
Akikukosea ni afadhali umpige dushe tu, hata kama kwa siku akikukosea mara tatu[emoji34] "WE MPIGE DUSHE TU"
Uone kama hatokaa sawa [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Upo vizuri sana mkuu
 
Kwa kifupi ni kwamba mwanamke anayeitaji Muongozo akae kwa wazazi wake ampe hiyo miongozo yake. Mwanamke katika ndoa bila kupigwa makonzi na mkong'oto anaweza akakuacha umelala anaenda kufanya mapenzi chumba cha jirani. Wanawake akili zao wanazijua wenyewe, angalia wanawake wengi wasomi na wanaopenda kuoji katika family wengi wameachika. Mfano wale makungwi wengi wanaofunda mabinti wengi tayari ndoa zilishawashinda, lakini ukitaka akupe maelekezo ya nn kufanya katika ndoa wanasaidia sana kukupa cha kufanya ili kunusuru ndoa yako isiachike. Cha Msingi eshima ya mwanamke na kufata mwanaume akitakacho kukitimiza ufanikiwa kukaaa katika ndoa.
Kama mwanamke unataka mashindano ujue ndoa utaisikia katika bomba. Na Kingine wanawake wengine wanajidai hoo nimechoka kufanya mapenzi ujue ndoa unaihatarisha, mwanamke utakiwi kuchoka katika ndoa, hasa hasa linapokuja suala la mapenzi.

Ukiona hivyo una kibamia hivyo un jaribu kufidia mapungufu yako kwa kumpiga Demu, hkn Mwanaume wa ukweli mwenye Dushe ambalo Mwanamke analihitaji halafu akadharauliwa!
 
Hii ni yangu mwenye, Kuliko kumpiga mtu ninayeishi naye kama mke, kama amefanya kosa linalostahili kumpiga nitamwacha. Shida Wa Tanzania wanapiga hata chumvi ikizid kwenye mboga, au kachelewa fungua mlango, huu ni Ujinga uliopitiliza. Kwa kuamini kwamba ukimpiga mtu mzima anabadilika kwa sababu ya kipigo, sio kwa sababu katambua kosa lake, ninaamini kwamba kumpiga then sio solution!
Mimi simpigi mke wangu maana sijawahi kuona kosa la kunifanya nimpige na siku ikitokea sijajua litakua ni kosa la aina gani japo siombei mabaya yatokee.

Lakini pamoja na yote natambua wanawake wana maudhi mengi na sio kila anayempiga mwanamke basi hua amedhamiria, mwingine inatokea kakasirika kupita kiasi na panic anajikuta kamzaba vibao mke wake, hii haina tofauti na mtu yeyote hata mwalimu shuleni anajikuta kakasirika na kupanic anampiga vibao mwanafunzi, hasira zikiisha anakumbuka kwamba kilichofanyika kilikua ni over reacting na anaweza kumuomba mwanafunzi samahani.

Ushauri wa bure ni kujiepusha kuongea au kujibishana na mkeo pindi unapokua na hasira maana anaweza kukujibu ovyo ukajikuta umetenda kitu cha ajabu sana.

Ukikasirika kaa kimya, tulia au ondoka rudi baadae lazima utakua umepoa. Kama kuna ulazima wa kumuuliza unaweza kumuuliza kama sio lazima potezea, piga msosi, mvutie time omba game, hasira zote zinapotea ukipiga game[emoji23] [emoji23]

Nakuhakikishia "Game trick kills anger"
 
Kama umeoa wewe, autakuwa timamu kichwani!

Sijaoa lkn nina uzoefu na Wanawake, kama uko vizuri kwenye sex na unamfikisha fresh hawezi ku kukuzingua, kila kitu kipo hapo kwenye Sex, ukiona anakuzingua ujue haumridhishi hivyo anajaribu kuwasiliana na wewe kivingine kwamba ongeza game,...
 
Mkuu sio kila kinacho tokea kwenye mahusiano shida ni kusimamia shoo...wanawake wengine sana matatzo yao tuu....kikihusika kipigo akili yake inakaa sawa

True
 
Back
Top Bottom