Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,580
kila kitu kinakuwa legal
ila hisia huwa zinasahau mikataba
Ila habari kama niliyoiweka hapo juu mimi naona ina uafadhali kidogo kwa sababu anayekubebea huo ujauzito ni mama yako mzazi (ambaye nadhani hadi mnafikia uamuzi huo mtakuwa mna maelewano mazuri) na yeye kama bibi kwa hali ya kawaida atakuwa na mapenzi pia kwa mjukuu wake pamoja na wewe mwanae. Uwezekano wa wote kuwa one happy family ni mkubwa.