Swali lako linafaa kujibiwa na watu kama
Riwa. Sana sana mimi nisiye mtaalamu wa hayo mambo, nitakupa tuu mfano mmoja hai kuonyesha kuwa swali lako halina jibu la moja kwa moja.
Kuna clinic moja huko Marekani ilikataa kusaidia type yoyote ya surrogacy kwa gays. Gays wawili (partners) walikuwa HIV-positive. Mpango wao ulikuwa ni ku-fertilise an ovum off a female with sperms kutoka kwa mojawapo wa hao gays and then implanting that within a female ambaye alikuwa tayari ameshakubali kubeba huo ujauzito.
Clinic ilikataa kuwasaidia. Hao gays walipinga uamuzi wa clinic on logical grounds. Walisema kuwa kulikuwa hakuna utafiti ambao ume-document cases za HIV-positive sero-conversion within the recipient of the gametes off HIV-positive donors.
Pia walipinga uamuzi wa clinic kwa kuwa walikuwa na ushahidi kuwa huyo mwanamke alikuwa amekubali kuubeba huo ujauzito na alikuwa anajua kuwa hao gays ni HIV-positive. Japokuwa bado clinic hiyo ilikuwa ina-offer assisted conception to both the HIV-positive discordant gay couples and the ame-sex couples, hao gays wawili walikataliwa ku-undergo this procedure.
Argument ya clinic ilikuwa kuwa those superseding ethical concern kwa kesi kama hizo ni kumlinda huyo mwanamke aliyetaka kuubeba huo ujauzito kuambukizwa na ukimwi.
Assumption ilikuwa kuwa risk ya huyo mwanamke kuwa infected na HIV ilikuwa zero bila ya surrogacy contact, or implantation of the fertilised egg. Hata hivyo, kama due care ingeweza kuchulikuwa kupunguza risk of this unsual HIV transmission, clinic ingeweza ku-eliminate risk ya surrogate woman kuambukizwa. Hata hivyo, ethics committee ya clinic ilitupilia mbali hizo assumptions kwa kuunga mkono uamuni wa clinic.
kwa hiyo ni ngumu kutoa verdict kama surrogate mother should carry an egg from an infected woman. Nafikiri uamuzi wowote utategemea na ethics za wahusika mwenyewe. Kwa hiyo, watu wanaweza kuwa na views tofauti kuhusiana na hili.
Kwa mfano, wakati hii kesi ya hawa gays ikiendelea, kuna mwanamke mmoja alisema kuwa wakati akiwa na miaka 13, alijikuta kuwa alizaliwa bila uterus. Alipofikia umri wa miaka 19, her initial sexual encounter was a horror pale alipogundua kuwa the sex made her HIV positive. Miaka miwili baadae aliolewa na mwanaume who happened to be a great person. Aliamini kuwa amekutana na mtu ambaye angem-consider kama life partner. Pamoja na kuwa HIV positive, she found her love.
Sasa fikiria mwenyewe kama anaweza kumpata a surrogate mother ambaye atataka kumbebea mtoto huku akijua ni HIV positive. Wewe utakuwa tayari? Sujui
BADILI TABIA na
Kaunga?