Surrogate Mother

yakikukuta wakati mayai umekaangia chips na unahitaji mtoto utajua kama yamefika ama lah!

Kwa sasa ngoja nikakutafutia kilimo kwanza.
I understand the world is just like a village, lakini mambo kama haya ni mageni sana huku Africa kwa sasa.
Could u start some thread with regard to KILIMO KWANZA so that we dance to the same tune?
 
mkitaka kuelewa ni ngumu kiasi gani muoneni bianca na mke wa jeff wanavohanagaika kwenye isidingo!
kimsingi ni ngumu!hailelezeki katika uhalisia!
na inaleta changamoto nyingine kwa tafsiri ya neno MAMA!
 
Hivi unawezeja mtu kumegwa huku unaimbishwa maombi...
na wewe ukatoka umeamini kabisa? lol
sasa ni maombi au adhabu? lol
sio maombi wala adhabu!
JUST UAMUZI tu!
chezeya mvuto wababa mchungaji weye!hawa watu wanadatisha waumini wao bana!yani mtu analala na mumewe anafantasize yuko na baba mchungaji
kwa hiyo wala haihitaji nguvu nyiingi kwa mchungaji kugegeda sukari guru ya muumini!ka kumsukuma mlevi vile!
 
sure

ila hata akiji-detach
wana historia ambayo mama orijino hawezi iondoa
bora akubali tu

ila kama si ndugu, bora akae naye mbali.

If you take it as a gift of life, sioni tatizo liko wapi. Endapo utachukulia lucky enough kuwa na mtoto mwenye mama wawili. Ila surrogate mother anapaswa kujidetach na mtoto immediately after birth nadhani.
 
mbegu ni za mwanaume...
mfano mimi na wewe,mtu na mkewe lakini mama yako ndo atabeba mimba kutuzalia watoto
we unaona yupi ni original mom?

Hakuna mbegu before fertilization wewe! Hivyo manii zako na ovum ya mkeo unachavushwa nje ndio kizygote kinawekwa kwenye Tumbo la surrogate mother.
 
wala sio poor you
ni kwamba halijakufika

hii dunia iko so unfair
una ndoa halali na salama
una kipato cha kula na kunywa

mnakaa wawili tu
hakuna hata mtoto wa kuongeza furaha

nyongo yote inatumbukia

U know what, it sounded like all examples and quotations u hv given were from America!
Anyway...may be iam too confiscated inhere!
Poor me!
 
hivi tunavyopeleka wapendwa wetu kupasuliwa mioyo na kuwekewa mirija pandikizi, ni Indians? Ama tanzanians!

Kupandikizwa moyo, sawa eti mtoto iwe si sawa?

It doesn't matter if they are Americans or Argentinians.

They are people and that's what matters the most.
 
Mbegu si ndiyo sperm? Na manii si ndiyo semen? Au nakosea?

Sperm sio mbegu bwana, hakuna mbegu kwa wanyama ni mimea tu. Na Mbegu hupatikana baada ya fertilization na moja ya tabia muhimu ya Mbegu ni kuweza kuota. Sasa sperm ukiiacha peke yake haiwezi kuleta kiumbe chochote kama vile ovum ikiwa peke yake ni nothing.
 
Back
Top Bottom