Surrogate Mother

sina wasi wasi na tekinolojia itakayotumia, am happy

sina tatizo na nafsi yangu, kwamba dini inanikataza, nina amani na Mungu wangu

nachosumbuka ni hisia, huu ujauzito jinsi ya ku-uhandle, kuweza kukonnect na mtoto akiwa tumboni.

Najua siku hizi kuna hormones za kunywa maziwa yatoke, sina wasi wasi na kunyonyesha pia.

Ila nahisi surrogate mother atasumbua, mabibi wote wawili wako above 60, so hawataweza beba ujauzito.

Hivi wifi anaweza kufanyia kazi hii? Au ndo yatakuwa masimango kila siku?
 
Mhm! Wifi atakuzingua, mi nakushauri utafute mtu wa nje ta TZ kwani hata hiyo process yenyewe si inafanywa nje mfano unaenda kufanya process S.Africa then na gestation carrier unamtafuta hukohuko, so that mtoto akizaliwa tu na ndio mwisho wa kuonana naye.
 
Someone close to me needs that help
Nilikuwa najaribu kuangali how we can all deal with it
Mwili wake hauruhusu kubeba mtoto, ametibiwa hadi basi, imeshindikana
Hiyo ndio option ilobaki

So...somebody is carrying that stuff for you! Why dont you carry it yourself? Au mambo ya kimwili hayaruhusu....
 
Hii huduma itaanza kuhitajika zaidi

Ukiachia mbali wenye matatizo ya kiafya wasioweka kubeba mimba
Je, haiwezi kutumika kwa watu walioathirika na magonjwa kama HIV ili kuokoa maisha ya mtoto zaidi??
Provided wataalam wakithibitisha sperm na yai la mwanamke havitamwambukiza surrogate mother magonjwa husika?
EMT, njoo unisaidie hapa
 
Last edited by a moderator:
Mhm! Wifi atakuzingua, mi nakushauri utafute mtu wa nje ta TZ kwani hata hiyo process yenyewe si inafanywa nje mfano unaenda kufanya process S.Africa then na gestation carrier unamtafuta hukohuko, so that mtoto akizaliwa tu na ndio mwisho wa kuonana naye.

Tena awe mzungu ili mtoto wenu mweusi akizaliwa asiwageuzie kibao akamchukua yeye. teh,teh,teh.
 
Someone close to me needs that help
Nilikuwa najaribu kuangali how we can all deal with it
Mwili wake hauruhusu kubeba mtoto, ametibiwa hadi basi, imeshindikana
Hiyo ndio option ilobaki

Ok understood! Kweli kuna mambo magumu sana kufanyika...ngoja tuone inakuwaje
 
Hiki kisa hujakitoa katika tamthilia ya ISIDINGO inayoonyeshwa ITV? Maana haya mambo hajafika hapa bongo kwetu(sina hakika maana pale mikocheni karibu na clouds FM kuna IVF fertility clinic)
 
kuna akina mama kutokana na matatizo kadha wa kadha inabidi wasaidiwe kubebewa ujauzito na akina mama wengine al maarufu 'surrogate mother'

lakini, inaelekea huwa kuna uhasimu wa kihisia baina ya mama orijino wa mtoto na surrogate mother.

Surrogate mother anapata nafasi ya kubond na mtoto akiwa tumboni, anaanza jlkujisahau kama yule si mtoto wake.

Mama orijino anakuwa frustrated maana anakosa muda wa kubond mtoto akiwa tumboni.

Hebu nielezeni, how to cope na hali hii wote kwa mama orijino na surrogate mother.

Na je, baada tu ya mtoto kuzaliwa, surrogate mother aondelewe mara moja?

Am confused, help!
I may be too late to this uzi but usually to aviod 'emotional' problems,
  1. surrogate anakuwa unrelated to bio-mother(BM) so akijifungua anasepa zake.
  2. IDK how bio-mom anabond na mtoto tumboni so i cant comment there.
  3. kuna professional surrogates for hire so hii pia inaweza kusaidia kwenye coping, hawa huwa kind towards BM na the experience huwa +ve for everyone involved
  4. ni vizuri SM akiondoka soon as it may confuse mtoto psychologically. hawezi kuelewa tofauti ya SM na BM na the whole procedure etc
 
Ujue hii issue mnaichukulia kirahisi rahisi hivyo eeeehhh? Hivi kuna mwanamke aliyetayari kubeba mtoto wa mtu kwa miezi 9 na changamoto zote za ujauzito na uchungu wa kuzaa embu acheni masihara nyie
 
Back
Top Bottom