Surrogate Mother

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,010
1,500
kuna akina mama kutokana na matatizo kadha wa kadha inabidi wasaidiwe kubebewa ujauzito na akina mama wengine al maarufu 'surrogate mother'

lakini, inaelekea huwa kuna uhasimu wa kihisia baina ya mama orijino wa mtoto na surrogate mother.

Surrogate mother anapata nafasi ya kubond na mtoto akiwa tumboni, anaanza jlkujisahau kama yule si mtoto wake.

Mama orijino anakuwa frustrated maana anakosa muda wa kubond mtoto akiwa tumboni.

Hebu nielezeni, how to cope na hali hii wote kwa mama orijino na surrogate mother.

Na je, baada tu ya mtoto kuzaliwa, surrogate mother aondelewe mara moja?

Am confused, help!
 

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,217
2,000
Sasa Marekani unakuta Surrogate mother ni mama mkwe wako au hataa mama yako mzazi..
au dada au shemeji ....yaani ni full mcahanganyiko.......
 

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,010
1,500
ndio, naona wanashindania kumpenda mtoto
ila bado hajazaliwa
mama wa mtoto orijino anataka aanze kubond na mwanaye akiwa bado tumboni

sijui itafanikiwaje
anaona kama surrogate mother anamnyima muda wa kubond na mwanae makusudi.

Una mifano halisi ya huo uhasimu wa kihisia baina ya hao wamama?
 

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,010
1,500
mmmhh, tena kama ni mtu ndani ya familia nadhani mgogoro utakuwa mkubwa zaidi.

Bora wa nje unaweza ukamwambia 'get lost'

Sasa Marekani unakuta Surrogate mother ni mama mkwe wako au hataa mama yako mzazi..
au dada au shemeji ....yaani ni full mcahanganyiko.......
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,747
2,000
Sasa Marekani unakuta Surrogate mother ni mama mkwe wako au hataa mama yako mzazi..
au dada au shemeji ....yaani ni full mcahanganyiko.......

Mama mzazi mimi naona ni bora zaidi. Soma hii:

Kristine Casey is not just any grandmother to her grandson, Finnean. She is also his surrogate mother.
Casey, then 61, gave birth to Finnean in February 2011 after her daughter, Sara Connell, struggled with infertility. Connell's egg and husband Bill's sperm were used in the in vitro fertilization procedure, making the couple Finnean's biological parents, and Casey the gestational carrier of their child.
"The idea, we never could have fathomed," Connell, 36, said today on "Good Morning America." "I felt so connected with Finn and with my mom and yet it was a completely surreal, really fantastic situation."

Habari zaidi
 

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
2,000
Kongosho whats going on in your life right now? Mara Celibacy, Mara surrogate mother!!!!!! What skinky business are you into? Smthn is fishy behind hizi mada zako, zisizokubalika kidini!
 
Last edited by a moderator:

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,010
1,500
am a business woman
na huwa siachi biashara
regardless ya challenges zilizopo

am serious here

Kongosho whats going on in your life right now? Mara Celibacy, Mara surrogate mother!!!!!! What skinky business are you into? Smthn is fishy behind hizi mada zako, zisizokubalika kidini!
 
Last edited by a moderator:

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,211
2,000
I understand the world is just like a village, lakini mambo kama haya ni mageni sana huku Africa kwa sasa.
Could u start some thread with regard to KILIMO KWANZA so that we dance to the same tune?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom