Mwita25
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 3,831
- 1,173
Wee nguvu za kike zimerudi baada ya vile viwili?
Msalimie Eliza
Amezipata salamu.
Wee nguvu za kike zimerudi baada ya vile viwili?
Msalimie Eliza
Kwanini usihamishie kiunoni...Ntajibeba kwa mikono, nikilemewa nahamishia kichwani.
Hahahaha! Marketing Manager banaa...Tatizo lalo hutoi source ngoja niiongeze manyewe
Kwanini usihamishie kiunoni...
nimekutaja wa kwanza sbb napenda avata yako. Sina maana unanivutia sbb mm navutiwa na MTM. Na sijafuata ubora, kiubora ina mana hao wadada nimekosea kuwapanga kasoro faiza foxy.
mwenyewe analifahamu hili....?....umewahi kumueleza.....?
mwenyewe analifahamu hili....?....umewahi kumueleza.....?
Mpole kaenda wapi? Au ndio she is bowing in front of Supastars alio wataja na kuwaalika mwenyewe kwenye thread yake?
Kinachowasumbua ni I dont want nawant (sitaki nataka)
amwage verse tu, sasa kawabwabwajia wengine eti nyie masta kwa lipi kumbe ishu ilikuwa simple MTM
Nione nikifanyie ubunifu kiuno chakoChembamba sana.
Nione nikifanyie ubunifu kiuno chako
hahahaha,Nukatala akaluseko nuja Ng'wanza nukabhuja sabuni ki iyi?iyi ya malashi alu mpango selasini!Wee nguvu za kike zimerudi baada ya vile viwili?
Msalimie Eliza
Umeniua wewe? kikojozi!i Thought you dead! nimekimisije
Hehehe,ngoja soon u will be lost in transaction, ndo utalijua jiji!
Nabadili natema mate chini kabisa...Weweeee.
Embu badili hiyo kauli haraka.Yallah yallah.
Nabadili natema mate chini kabisa...
Bado unakumbuka oiUmeniua wewe? kikojozi!