Supa star wa JF

Supa star wa JF

mpoleeee

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
310
Reaction score
131
Ni vigezo gani wanatumia. Ktk peruz peruz yangu kuna wale nawaona mara kwa mara ila bado sijaona michango yao ya maana. Kuna membaz wana michango ya msingi sana sioni hata mmoja kutajwa. Wale majukwaa ya maana na kujenga kama kule siasa, Tech and gadgets, international forum, habari na hoja mchanganyiko wao sio supa star? Napenda nijuzwe hasa na hao ma super star wenyewe.
 
Huo usupastar umeandikwa kwenye majina yao au inakuaje?Bado sijakusoma.
Hao ambao hawajatajwa, hawajatajwa wapi?Waliotajwa nao wametajwa wapi?Nauliza ili nijue cha kuchangia.
 
muanzisha thread ungesema labda wewe
umeambiwa nani humu ni superstar na umeambiwa na nani?
au wewe unamuona nani humu ni superstar na kwa nini???????
 
superstar gani mpolee ? kuwa makini ushadanganywa eeeh humu hamna superstaa
kama kuna ,tu kakudanganya kwa lugha iyo ishakula kwako shosti hamna cha superstaa wala staa humu
 
kuna membaz kama akina Nguruvi, Mkandara, waberoya, Jastropha na wegine hao wachache tu.

@Lizy na The Boss nyie ni moja ya supa star sina hiana yoyote nataka tu kuelewa vigezo hasa ni nini?
 
Mimi na FF ndiyo tuna hadhi ya kisupastaa humu JF lakini wengine wanajikongoja tu kudadadadadeki.
 
supastar ndetichia na bujibuji kwani vip mpoleeee...
 
kuna membaz kama akina Nguruvi, Mkandara, waberoya, Jastropha na wegine hao wachache tu.

@Lizy na The Boss nyie ni moja ya supa star sina hiana yoyote nataka tu kuelewa vigezo hasa ni nini?

Mbona hizo zote ni ID zako?
 
kuna membaz kama akina Nguruvi, Mkandara, waberoya, Jastropha na wegine hao wachache tu.

@Lizy na The Boss nyie ni moja ya supa star sina hiana yoyote nataka tu kuelewa vigezo hasa ni nini?
Tumeupataje huo usupar star sasa hata wao wakose?
 
Nahisi mmekuja kwa ukali sana. Kama nimekosea kurusha hi topic naomba mnisamehe.
 
Mimi na FF ndiyo tuna hadhi ya kisupastaa humu JF lakini wengine wanajikongoja tu kudadadadadeki.

Mwita25 kuna seridi kako nilikaona asubuhi nikasema ngoja nioge nikasome, kamepotelea wapi?
 
jibu mada mbona nahisi navamiwa au ni mada sensitive?
usijali,huku kuna style nyingi za kufamamika na sio usuperstar,mfano mtu anafahamika kwa
signature yake,jinsi anavyojibu,misemo yake.
mfano,washawasha na style yake ya log off
The Boss~~Jf is never boring,
Figganigga mzee wa mia.
Faiza Foxy,malaria sugu,Ritz na Rajeo wao wanajulikana kama wanaopinga
etc
 
hujakosea ila masuper star unaotaka watajwe ni wa siasa na majukwaa mengine sasa watatajwaje huku MMU jamani kila star ana jukwaa lake mamito.....( unanipa wasi na IQ yako)
 
Back
Top Bottom