Supa star wa JF

mimi nakosa raha nikiitwa superstar humu.....
bora niitwe tu member mzoefu....
 
kuna membaz kama akina Nguruvi, Mkandara, waberoya, Jastropha na wegine hao wachache tu.

@Lizy na The Boss nyie ni moja ya supa star sina hiana yoyote nataka tu kuelewa vigezo hasa ni nini?

sasa kama umewataja hao ina maana unajua vigezo,haya tuambie na sisi tusiojua
 
Mi naona hii ni inferiority at its best.
Umaarufu wa mwingine utansumbuaje mie?

Hivi analiwa mwingine mia nikate mauno ya nini?
Kama hujui vigezo vya wao kuwa masupastaa na hujui waliowapa usupastaa kwa nini na wewe usijipe huo ustaa.

Nahisi ni aina ile ya watu ambao huwafuatilia wenzao mgongoni kujua whats happening to them kimya kimya wakifanikiwa unakunywa sumu kimya kimya.

kuanzia leo mpolee nimemteua Celebrity of all jf supastaaz
 
Baadhi ya list ambao hutajwa katika pita pita yangu ni The boss, rejao, faiza foxy, afrodenzi, ashadii, kingasti,mwita25,mr rocky, asprin, nyani njabu, smiles,husnynyo, na wengine kidogo nimewasahau. Wengine nawapata kuitwa supa star mfano faiza foxy mie ndio nilitaka kujua akiwa amefaulu kua mbwabwajikaji,mchakachuaji,mumwaga pweti, kilaza, ndioa anaitwa supa star?Mnapokua wakali badala ya kunijb inakuaje?
 
umenitaja first hapo..
sijui nifanyaje huu 'u superstar' uishe...
ushanichosha kwa kweli
 
Hatuwi wakali, tunajitahidi sana kukuelewa unachomaanisha.
Hebu toa list ya supastaa wako unaoona wanafaa. Toa top ten yko

afu ntaendelea
Baadhi ya list ambao hutajwa katika pita pita yangu ni The boss, rejao, faiza foxy, afrodenzi, ashadii, kingasti,mwita25,mr rocky, asprin, nyani njabu, smiles,husnynyo, na wengine kidogo nimewasahau. Wengine nawapata kuitwa supa star mfano faiza foxy mie ndio nilitaka kujua akiwa amefaulu kua mbwabwajikaji,mchakachuaji,mumwaga pweti, kilaza, ndioa anaitwa supa star?Mnapokua wakali badala ya kunijb inakuaje?
 
Mi naona hii ni inferiority at its best.
Umaarufu wa mwingine utansumbuaje mie?

Hivi analiwa mwingine mia nikate mauno ya nini?
Kama hujui vigezo vya wao kuwa masupastaa na hujui waliowapa usupastaa kwa nini na wewe usijipe huo ustaa.

Nahisi ni aina ile ya watu ambao huwafuatilia wenzao mgongoni kujua whats happening to them kimya kimya wakifanikiwa unakunywa sumu kimya kimya.

kuanzia leo mpolee nimemteua Celebrity of all jf supastaaz
kaka hainiumi nilikua kyurias. Kuna ubaya kutaka jua?
 
Mpaka sasa hivi sijafamu nia yako ya kuanzisha hii thread. Watu kama nyie ndio mnafanya watu waonekane masupa star. But sidhani kama hiyo teminology ya usupastar ni approriete kutumika hapa. Memberz wengi wanakuwa identified kiurahisi kutokana na the way walivyo unique na interaction yao na other members.
 
umenitaja first hapo..
sijui nifanyaje huu 'u superstar' uishe...
ushanichosha kwa kweli

nimekutaja wa kwanza sbb napenda avata yako. Sina maana unanivutia sbb mm navutiwa na MTM. Na sijafuata ubora, kiubora ina mana hao wadada nimekosea kuwapanga kasoro faiza foxy.
 
kwa ufupi wale wote mnaotaka kuwa ma super star humu

ma superstar wa jf ni premium members only.....

sasa ukitaka wewe changia jf uwe premium
na wewe ni star....otherwise funga domo lako....
 
Sasa mwenzangu hata kaheading hukumbuki? Mie sio mchokozi banaa,usianze kunifundhisha tabia mbaya,lol!
Kweli nilikaona elle tu nafungua kamchina kangu sikaoni tena!!

King'asti kama ulikaona kahedingi kake nikumbushe mwehego nikasechi!
 
Mpaka sasa hivi sijafamu nia yako ya kuanzisha hii thread. Watu kama nyie ndio mnafanya watu waonekane masupa star. But sidhani kama hiyo teminology ya usupastar ni approriete kutumika hapa. Memberz wengi wanakuwa identified kiurahisi kutokana na the way walivyo unique na interaction yao na other members.

sante. Toka nimeuliza walau wewe umekuja na jibu.
 
Now u are talking

Beware, big mama is watching u

sasa kumbe wewe mwenyewe umempa
ustaa sababu ya avatar yake
basi unajua sababu why others are stars
ulikuwa unauliza nini?

king'asti naomba msuba kuna mtu anataka kuzingua transactions

Back
Top Bottom