Supa star wa JF

Supa star wa JF

mumeelewa vibaya nyie. Mlengwa nisamehe sikua na nia mbaya. Naomba msada wa kufuta post wajameni.

Kwahiyo nia yako ilikua kutujulisha/kuwajulisha unaowafagilia na usiowafagilia? SiungewaPM badala ya kutupotezea muda kujibu mada ambayo hata kwako mwenyewe haikua na mshiko?
Fynest anapendwa na wengi humu kwahiyo wewe hata usipompenda hapungukiwi.

Usiku mwemeni jamani.Wengine sie tunalala saa za kuku.
 
Ukiongea na mwehu wewe ni mzima, teh teh
tena mna-urgue yan wewe ni mzima kweli
bora hata mikopo ya wanafunzi

its amplified insanity
Pancrease, I'm a rector, it seems that you undergo insanity... Cool down! :lol:
 
kwa ufupi wale wote mnaotaka kuwa ma super star humu

ma superstar wa jf ni premium members only.....

sasa ukitaka wewe changia jf uwe premium
na wewe ni star....otherwise funga domo lako....

Hilo nalo neno...
 
Mpolee hoply you get strong answerz.THIS IZ THE HOME OF GREAT THINKERZ,at ukistaajab ya Kikwete utayaona ya anaowaongoza.
 
He he he, the Finest I hate that I hate you
Lizzy pull out ur gun, safisha, na andaa risasi zako
kuna swala anakatiza anga lako.

@mpolee, hukuhitaji kuchafua wengine kufikisha ujumbe wako kwa MTM, not fair ku-express ur feelings at other pipoz expense
She hates that she loves me...
 
Unajua when you're a man somethings you let me go cause at the end of the day people will come back to you crying...

aisee nimetazama na google translator nimeona kama sijakuelewa
hebu rudia au twende bakita.....lol
 
Kwahiyo nia yako ilikua kutujulisha/kuwajulisha unaowafagilia na usiowafagilia? SiungewaPM badala ya kutupotezea muda kujibu mada ambayo hata kwako mwenyewe haikua na mshiko?
Fynest anapendwa na wengi humu kwahiyo wewe hata usipompenda hapungukiwi.

Usiku mwemeni jamani.Wengine sie tunalala saa za kuku.
Lizzy unajua kuna ishu zingine unaishia kucheka tu.
 
Ma supa star naona mmegeuza topic na kufanya imhusu MTM napenda myuzik alinivutia na hed4nz zake na aliponiambia feel the beat. Toka hapo alinikosha. Ktk supa staz wote waliochangia nampenda preta ktk wote simpend f...est naona kama vile sio kamilfu.
Teh Teh Teh Teh Teh........
 
Back
Top Bottom