Supa star wa JF

Ni vigezo gani wanatumia. Ktk peruz peruz yangu kuna wale nawaona mara kwa mara ila bado sijaona michango yao ya maana. Kuna membaz wana michango ya msingi sana sioni hata mmoja kutajwa. Wale majukwaa ya maana na
kujenga kama kule siasa, Tech and gadgets,
international forum, habari na hoja

mchanganyiko wao sio supa star? Napenda
nijuzwe hasa na hao ma super star
wenyewe.

Ndugu mi nadhani unazungumzia wachangiaji maarufu.Na mtu anakuwa mchangiaji maarufu kwa kuchangia sana.
Au pengine ni mamembers wa muda mrefu na wanajuana na kuzoeana kiasi ambacho
wanaweza kupiga story na kuchat katikati ya
thread ya mtu na ikawa ni sawa kwao.


Na mara nyingi hata majibu mtu anayopata inategemea sana na ID yako inafahamika au ni mpya yaani mgeni.

Lakini pia wapo wenye kuheshimu kila member haijalishi amejiunga leo au 2006,example Asha Dii.

Hivyo point yako binafsi nimeielewa nadhani unazungumzia wachangiaji maarufu ila sio usuper star coz hakuna super star mtu ukishakuwa nyuma ya ID ya bandia na picha ya bandia.
 
Jf superstar jukwaa la utani/jokes hapo ni exellent. Hayo mengine hayatabiriki, kama jukwaa la siasa ndo kabisaaaaaa!
 
Naona watu wanazuga sana, piga ua, garagaza, fanya vyovyote vile whatever, ukimbie, ubaki, unga robo chenji ibaki..sijui nin, sijui nini, hapa JF masupastaa kibao tu..... Lizzy AD woteeeeeeeeeeee(Afro. Dena, AshaD) MziziMkavu Riwa Buji Gaijin Feisbuku Asprin Klorokwni Kwinini FirstLady MMMJ Invi wote Katavi TF NN-aka nyani Washa Dr City Kongosho Gerald Maboss FF Smile ...yaani kibao tu, ukiweza kunywa na umeze ukishindwa sepa:
ddddddd.gif
Merry_Christmas.gif
2i9m911.jpg
......katuni kidole
jidhjp.gif
...gonga thanks
 
Ni vigezo gani wanatumia. Ktk peruz peruz yangu kuna wale nawaona mara kwa mara ila bado sijaona michango yao ya maana. Kuna membaz wana michango ya msingi sana sioni hata mmoja kutajwa. Wale majukwaa ya maana na kujenga kama kule siasa, Tech and gadgets, international forum, habari na hoja mchanganyiko wao sio supa star? Napenda nijuzwe hasa na hao ma super star wenyewe.


Mpoleee dear... Kwa mtazamo wako do I qualify kama super star nikupe jibu?
 
Masuper star wa JF ni wale waliojaza PM box zao si chini ya mara nne mwaka huu.
 
wewe si walikutaja?
Au unataka wakutaje tena??
Mie naogopa kweli hukawii kupakaziwa skendo
Hiyo imekaa kiupendeleo zaidi maana vigezo havijawekwa wazi. . .
Alafu skendo mbona nlishazoea.Hapa tena. . . kila mtu na lake.
 
Mi nilichokaje?
Kijana wangu si kidogo ashindwe kutembea dede
siyataki kabisa maskendo ya ustaa

Hiyo imekaa kiupendeleo zaidi maana vigezo havijawekwa wazi. . .
Alafu skendo mbona nlishazoea.Hapa tena. . . kila mtu na lake.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom