Geeque
JF-Expert Member
- Aug 17, 2007
- 935
- 315
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
hahahaha Mwanakijiji jirani yetu lazima atatia timu tena kutokana na umuhimu wa ujio wake kuna mambo matamu yameshaandaliwa kwa ajili yake yaani akifika tu ........inakuwa Kama Kawa ha ha ha.
Yeah Mazee yaani mambo pouwaa kabisa kwa hiyo si unajua tena tunakusubiri hapa uje ujikumbushe U-Mayor wako wa zamani hahaha.
Mkulu tuhakikishie kama hakutokuwa na kama yaliyotokea Columbus; haya moja.....mbili....tatu....anza...
Nyani na wewe inabidi uje Chicago bwana maana ile Booty-o-Meter yako inaweza ku-jam kutokana na kuwa busy katika ku-point kila direction. Kazi Ipo Mazee.
hahahahahaha lol nani amekuuzia huyo duh si utani !! Mazee lakini ukiweza tia timu itakuwa bomba sana.Aisee watu itabidi wafanye juu chini waje.....yaani ingekuwa freshi sana wote tungekuwa karibu karibu kama mlivyo na kina Mwanakijiji na wengine waishio hiyo mitaa ya kati.....
Halafi mazee nasikia una brand spankin' new booty-o-meter.......ahahahahahaa.....hutaki mchezo mazee...itabidi ni-catch up na wewe bwana
Kama kuna mtu ana maswali zaidi anaweza kuuliza hapa au kunicheki kwenye PM.
Mos-def hii tunakuja pamoja na mchizi Chinga Boi!!!
Eka maandalizi ya nguvu aisee maana kama kawa naja na vifaa vyangu!!!
Big-ups Chi town!