Summer Breeze BBQ in Chicago

Geeque

JF-Expert Member
Aug 17, 2007
936
316
Napenda Kuchukua Nafasi Hii Kuwakaribisha Wote Katika BBQ yetu hapa Chicago, IL ambayo itafanyika siku ya Jumamosi ya tarehe 26/7/2008 na kufuatiwa na Party usiku wake. Angalia Flyer kupitia hiyo attachment hapo chini.

Summer Breeze BBQ 600-800.jpg

KARIBUNI WOTE
 
Attachments

  • Summer Breeze BBQ900-1200.jpg
    Summer Breeze BBQ900-1200.jpg
    208.4 KB · Views: 85
Kama kuna mtu ana maswali zaidi anaweza kuuliza hapa au kunicheki kwenye PM.
 
Hii lazima Mwanakijiji atie timu.....

hahahaha Mwanakijiji jirani yetu lazima atatia timu tena kutokana na umuhimu wa ujio wake kuna mambo matamu yameshaandaliwa kwa ajili yake yaani akifika tu ........inakuwa Kama Kawa ha ha ha.
 
hahahaha Mwanakijiji jirani yetu lazima atatia timu tena kutokana na umuhimu wa ujio wake kuna mambo matamu yameshaandaliwa kwa ajili yake yaani akifika tu ........inakuwa Kama Kawa ha ha ha.

ahahahaha...thats whats up....
 
Naona mazee mambo yameiva.... safi sana!!
Yeah Mazee yaani mambo pouwaa kabisa kwa hiyo si unajua tena tunakusubiri hapa uje ujikumbushe U-Mayor wako wa zamani hahaha.
 
Yeah Mazee yaani mambo pouwaa kabisa kwa hiyo si unajua tena tunakusubiri hapa uje ujikumbushe U-Mayor wako wa zamani hahaha.

Ha ha ha....itabidi nichungulie mambo ya "visa" yanakwendaje kwanza. Si unajua tena...
 
Mkulu tuhakikishie kama hakutokuwa na kama yaliyotokea Columbus; haya moja.....mbili....tatu....anza...
 
Mkulu tuhakikishie kama hakutokuwa na kama yaliyotokea Columbus; haya moja.....mbili....tatu....anza...

Mwazange usiwe na wasiwasi wowote kila kitu kitakuwa bomba kabisa, matayarisho yote ni mazuri kwa ajili ya hiyo siku na tegemea kula raha utakapofika hapa. Karibu Sana.
 
Nyani na wewe inabidi uje Chicago bwana maana ile Booty-o-Meter yako inaweza ku-jam kutokana na kuwa busy katika ku-point kila direction. Kazi Ipo Mazee.

Aisee watu itabidi wafanye juu chini waje.....yaani ingekuwa freshi sana wote tungekuwa karibu karibu kama mlivyo na kina Mwanakijiji na wengine waishio hiyo mitaa ya kati.....

Halafi mazee nasikia una brand spankin' new booty-o-meter.......ahahahahahaa.....hutaki mchezo mazee...itabidi ni-catch up na wewe bwana
 
hahahahahaha lol nani amekuuzia huyo duh si utani !! Mazee lakini ukiweza tia timu itakuwa bomba sana.
 
Kama kuna mtu ana maswali zaidi anaweza kuuliza hapa au kunicheki kwenye PM.

Mos-def hii tunakuja pamoja na mchizi Chinga Boi!!!
Eka maandalizi ya nguvu aisee maana kama kawa naja na vifaa vyangu!!!
Big-ups Chi town!
 
Mos-def hii tunakuja pamoja na mchizi Chinga Boi!!!
Eka maandalizi ya nguvu aisee maana kama kawa naja na vifaa vyangu!!!
Big-ups Chi town!

Hakuna noma Ab-Titchaz karibu sana tena nimeongea na Chinga Boi muda sio mrefu sana, Mambo itakuwa Bomba.
 
Tutatia timu mazee..........konokono kama kazi.....si unajua tena.....ni very special
 
Tutatia timu mazee..........konokono kama kazi.....si unajua tena.....ni very special
hahahaha Mzee wa Konokono sio basi itabidi tukutafutie yale mambo yako ya Soca.
 
Back
Top Bottom