Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Ccm hakuna anayetafuta umaarufu mkuu umechanganya mambo. Ccm ni dume la mbegu halina haja kujitangaza hata kidogo kila mwenye shida hujileta mwenyewe.
Dume kwa wazazi wako na wewe mwenyewe...

hawa ndio wale mazuzuuuuu , hata kanuni ndogo kama hizi za bunge hujui, vidole havina ushirikiano na ubongo !
Dume kwa wazazi wako na wewe mwenyewe...
ufahamu pls - je viwanja vya bunge havina kinga kama vilivyo viwanja vya balozi za nchi za nje??
hiyo kinga inaruhusu askari wachumia tumbo kutii amri aramu kutoka kwa spika mchumia tumbo kumbeba mbunge mkuku mkuku kutoka ndani ya bunge?
una bichwa zito sana kuelewa!
kujua kusoma ni lazima uwe mbunge?
Mtu akisema bungeni ni pamoja na ikumbi na viunga vyake,so wanapoteza muda wao tu,there is no way watamhold liable
Kama huwezi kutii amri lazima mpigwe tu na tutakupigeni tu mpaka mtakaa sawa
Mkuu Pasco.
Unataka kuniambia mbunge akiwa bungeni akimchinja askari au kumpiga risasi analindwa na kinga na cheo chake
Huo ndio uhalisia wa watanzania wengi, sheria isipofuatwa wanaponda, sheria ikifuatwa wanaponda. yaani askari akimpiga raia wanaponda, askari akipigwa na raia wanaponda.
Kama huwezi kutii amri lazima mpigwe tu na tutakupigeni tu mpaka mtakaa sawa
Huo ndio uhalisia wa watanzania wengi, sheria isipofuatwa wanaponda, sheria ikifuatwa wanaponda. yaani askari akimpiga raia wanaponda, askari akipigwa na raia wanaponda.
Akili za kuambiwa changanya na zako hao Polisi walipaswa kufikiria kabla ya kukurupuka na kufanya maamuzi ya kidhalilishaji kwa mh mbunge ndani ya Bunge ambapo alijihami sasa anashitakiwa kwa kujihami na majanga ya Amri ya Ndungai hivi na yeye akiamua kuwashitaki polis kwa kumpiga mtama na kumkwida mahakamani patatosha ?
Sasa haya majanga! Mnasema mtawapiga lakini anayeenda mahakamani kushtaki kuwa kala kipigo ni askari. Kuweni na msimano basi! Mmepiga au mmepigwa?
Ila hata mie nilimwona Sugu akimpa uppercut mbili za nguvu yule askari baada ya kumburuza. Lakini kwa vile ana kinga ya bunge alistahili kumchapa yule askari maana alifuata amri ya Ndugai kama JIBWA bila kufikiri heshima ya mbunge.
Binafsi nampongeza Sugu kwa kufundisha adabu askari wanaofikiri kama mbwa wao ambao akiambiwa kamata! Hajiulizi