Alafu wewe mfuasi wa kambarage uwe unamalizia sentensi zako "Chadema ni wauaji wa CCM"Chadema ni wauwaji
We dogo control kajogoo kako, Chadema bado hajavunja ungo, usijefungwa miaka 30 kwa kubaka!!Mm napenda sana chadema jamani sijui kwa nn?
Ccm hakuna anayetafuta umaarufu mkuu umechanganya mambo. Ccm ni dume la mbegu halina haja kujitangaza hata kidogo kila mwenye shida hujileta mwenyewe.
WEWE UNACHOONGEA UWE UNAKIJUA!.. Usikurupuketu.... inaonekana umejiunga juzi tuu,
em fatilia usikie huyo askari analalamika alimpiga wakati gan na wap..
Akijanifanyia maloloso mie nitamCHEKA hadi kieleweke!acha umbumbu, kinga ya bunge kwa mbunge ni hata akiwa maeneo ya bunge, na ofisi za bunge dar zanzibar na dodoma.
Du! Hata hujui kanuni za bunge.Iwapo spika akitaka mbunge atolewe nje maana yake HATOKE NJE ya geti kabisa,na sio nje ya ukumbi.
Vipi ile kesi ya Rage ya kumpiga kijana wa CDM imefikia wapi? Pia vipi ile kesi ya yule mbunge wa kule Dodoma ya kuomba kupokea rushwa nayo imefikia wapi? ama upelelezi haujakamilika? Ngoja tuone , yetu macho.
Kinga ni ndani ya bunge sugu kampiga askari nje ya bunge haki sawa kwa wote
Hahaaa!Bint inaonekana umeshindwa kutetea hoja yako yakusema sugu kumpiga askar nje ya bunge... pole sn,Wewe kweli ni janga la taifa yani umepelekwa shule bado akili yako inamgando wakufikiria wewe ulijuaje kama nimekuja juzi wakati JF nikama daladala watu wanakuja na kuondoka au ndio kichwa chako kimeshapata majani na viroba vya tandale
Alimpigia Bar gani mkuu? Kasome tafsiri ya eneo la Bunge, halafu urudi uandike vizuri comment yako?
mkuu basi wewe maarufu kuliko Sugu.Sugu siyo maarufu kama unavyofikiri;
Sugu anakubalika tu kwenye kundi la vijana hasa wale
wanaopenda muziki wa hip hop;
Namfahamu sana sugu; mahali pa heshima nitampa
na akifanya tofauti nitamsema bila hata kumumunya maneno.
Hahaaa!Bint inaonekana umeshindwa kutetea hoja yako yakusema nje ya bunge... pole sn ila usikurupuke tena!
Kinga ni ndani ya bunge sugu kampiga askari nje ya bunge haki sawa kwa wote
Hembu wageuzie masab.uri na uache nyuma wazi uone watakavyo kutengeneza ndio utajua kama hawaja vunja ungo.We dogo control kajogoo kako, Chadema bado hajavunja ungo, usijefungwa miaka 30 kwa kubaka!!