SUGU mahakamani leo tar.11/9/2013 DODOMA

SUGU mahakamani leo tar.11/9/2013 DODOMA

Status
Not open for further replies.
Hv kweli askari anaweza kupigwa na raia? Basi hatuna askari ila wauza sura, na wapigwe tu, mimi nasema wapigeni.
Huo ndio uhalisia wa watanzania wengi, sheria isipofuatwa wanaponda, sheria ikifuatwa wanaponda. yaani askari akimpiga raia wanaponda, askari akipigwa na raia wanaponda.
 
Makamanda leo Mh.Sugu anapelekwa mahakamani mkoani Dodoma. Ikumbukwe kuwa Sugu anakabiliwa na shitaka la kumtishia kumpiga askari polisi bungeni.
Hivi alimtishia kumpiga askari au alimpiga askari?
 
Kinga ni ndani ya bunge sugu kampiga askari nje ya bunge haki sawa kwa wote

Kumbuka polis Ndio walianza kumpiga Sugu ndipo akajihami Je?nao washitakiwa ? Si ni Haki sawa kwa wote
 
jana nilisikia akidai asskarii. alimuuna kama yy ni lege lege ndio akawa anajaribu kumpiga ngwara naye akamuonesha yule askar kuwa yy si lele mama
 
Sugu wanakupandisha ki-siasa bila wao kujijua - Eti umemn'goa jino police wa bunge - ha ha ha
 
Mwenyewe anajisifia kwa alichofanya na wabunge wako wengi na wengi wala hawajui kwanini wako mjengoni. Sasa vituko kwa kwenda mbele, Deus Kibamba naye kwenye jukwaa lake amewashangaa wabunge kwa kuacha kufanya kazi iliyowapeleka bungeni wanajitishwa jukumu kutunga katiba mpya wakati si kazi yao.

Sugu aombe radhi yaishe mbwembwe zingine za kishamba, ukiangalia post zake FB we question his integrity. Wafuasi wake ndio balaa wao kusifia tu. Hata wakiweka sparling mtu mbili na askari hana upepo huo kutokana walivyombeba kimanumanu alikuwa mwepesi mno.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Tanzania kuna MAAJABU! Pinda alitoa kauli za uvunjifu wa amani hakukamatwa eti leo wanamkamata Sugu!!!? Shame on them maccm yote.
 
Kesi nyeupe sana hiyo ccm big looser!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mnyika, zitto hawakuwahi kutumia nguvu katika ulingo wa siasa pale bungeni bali wanatumia facts ,na ni wanaharakati.
 
Sugu siyo maarufu kama unavyofikiri;
Sugu anakubalika tu kwenye kundi la vijana hasa wale
wanaopenda muziki wa hip hop;

Namfahamu sana sugu; mahali pa heshima nitampa
na akifanya tofauti nitamsema bila hata kumumunya maneno.

Nilikuwa Mbeya uchaguzi wa 2010 na nilihusika vilivyo!Sugu alishinda kiurahisi mno kutokana na kura za wazee na akina mama!

Wasafwa wangapi wanaijua na kuipenda hip hop?Sugu ni Mbunge wa watu wa aina zote!
 
Utaponzwa wewe na kutokujitambua kwako;
bibi nilikuzalia baba au mama yako
haaaa ukiwa huku acha kutafuna majani
simama na akili yako we vipi
copy: chama
wewe ndio utaponzwa na nyinyiemu yako, mnakera sana wabibi kama wewe.
 
Last edited by a moderator:
Kinga ya bunge ni ndani ya bunge pamoja na viunga vyake. shida ni u ccm ndo unaowasumbua mpaka kanuni za bunge zinapindishwa.
 
Hawa vijana waangalie sana umaarufu wanaoutafuta
utawaponza; chama ongea na vijana wako.

Vipi ile kesi ya Rage ya kumpiga kijana wa CDM imefikia wapi? Pia vipi ile kesi ya yule mbunge wa kule Dodoma ya kuomba kupokea rushwa nayo imefikia wapi? ama upelelezi haujakamilika? Ngoja tuone , yetu macho.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom