mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 8,058
- 3,765
boraa uwe kukle kule jukwaa la MMU, huku si kwako madame B alikuja siku moja tu, harudi tenaHawa vijana waangalie sana umaarufu wanaoutafuta
utawaponza; chama ongea na vijana wako.
boraa uwe kukle kule jukwaa la MMU, huku si kwako madame B alikuja siku moja tu, harudi tenaHawa vijana waangalie sana umaarufu wanaoutafuta
utawaponza; chama ongea na vijana wako.
hiyo kinga inaruhusu askari wachumia tumbo kutii amri aramu kutoka kwa spika mchumia tumbo kumbeba mbunge mkuku mkuku kutoka ndani ya bunge?Kinga ni ndani ya bunge sugu kampiga askari nje ya bunge haki sawa kwa wote
dada nimeipenda hii lakini umesahau kumkoti huyo mbumbu anayefikiri kinga ya bunge inaishia pale tu spika wachumia tumbo wanapolundika masabuli yaoacha umbumbu, kinga ya bunge kwa mbunge ni hata akiwa maeneo ya bunge, na ofisi za bunge dar zanzibar na dodoma.
Hembu wageuzie masab.uri na uache nyuma wazi uone watakavyo kutengeneza ndio utajua kama hawaja vunja ungo.
Inamaana ile kinga ya mbunge akiwa bungeni huondolewa iwapo atakuwa mbunge wa CHADEMA?
Kinga ni ndani ya bunge sugu kampiga askari nje ya bunge haki sawa kwa wote
mkuu basi wewe maarufu kuliko Sugu.
Sio mbaya ukinielewesha sababu mimi sio mbunge
ni kweli mkuu, mbunge maana ake ni anayetokana na ccm tu, wengine ni raia wa kawaida! Chezea ccm wewe!Inamaana ile kinga ya mbunge akiwa bungeni huondolewa iwapo atakuwa mbunge wa CHADEMA?
eneo la bunge ni ndani na viunga vya bunge kiujumla!Kinga ni ndani ya bunge sugu kampiga askari nje ya bunge haki sawa kwa wote
Inamaana ile kinga ya mbunge akiwa bungeni huondolewa iwapo atakuwa mbunge wa CHADEMA?
Heee
Unakumbusha maumivu; Ritz hakuna mwenye uwezo wa kukujibu hapa
Kwahiyo unataka nini?
Nani kakuambia wabunge ndio wanaotutengenezea katiba ya tanzania? Uwiano wa wabunge ndio utasaidia nini kama sio kuleta shombo za kijinga kama za kina Sugu na Mbowe?
Teh teh na mtu akileta ujinga apigwe ya chembe au hata jino ling'oke kila akiliona pengo ajue ukomboz umefika nyumban kwake.
Pipoooooooooz!!!!!
Kwikwikwi. Makamanda hawataki kusikia ukweli moyo unawaumaaa.
Hapo Pasco anaongelea Mens Rea na Actus Reus jinsi invyoweza kuaffect hata kuua bila kukusudia sio kpsa
Halafu nyie,
Mnamkomalia Mamndenyi
Mnaogopa kuambiwa au
Kweli ndo hiyo na kwa ujumla wenu sina ligi
na wasiojitambua kama nyie. .........Naongea na mfuga mbwa
siongei na mbwa
Kwani alipigwa ndani ya bunge?
Makamanda leo Mh.Sugu anapelekwa mahakamani mkoani Dodoma. Ikumbukwe kuwa Sugu anakabiliwa na shitaka la kumtishia kumpiga askari polisi bungeni.
Updates: Sugu karudishwa kwa RCO. RCO anasema uchunguzi haujakamilika kwa hiyo SUGU kaachiwa kwa dhamana hadi hapo atakapoitwa tena.
Updates: Katika kuongea na waandishi wa habari Lisu amesema ni mbumbumbu wa sheria pekee ndie atakaethubutu kuipeleka kesi hiyo mahakamani kwani inaingilia haki na madaraka ya bunge kikatiba.