Kirode
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 3,566
- 84
Chadema ni wauwaji
wamemuua mama yako.......
Chadema ni wauwaji
Kweli wewe Chamviga! Usikubali kushikwa akili zako namna hiyo! Hapa hakuna mtu kutafuta umaarufu! Katiba ni ya Watz wote na Sio
Mali ya Ccm! Kwanini Ccm hawataki uwepo uwiano sawa katika hili? Hii kesi ni ya kitoto na Kamanda Sugu atashinda tu!
utamwita sana huyo Chama mwaka huu! Hivi huoni aibu, unajitoa ufahamu hadi watu wanaanza kukuita "bibi"!
Ni ndani ya viunga sio ndani ya ukumbiKinga ni ndani ya bunge sugu kampiga askari nje ya bunge haki sawa kwa wote
Siku hizi naona unajitahidi kweli kuwatetea magamba. si bure,umepata cheo huko nini?
Wema, vipi Diamond yupo?
Unaweza kunatajia elimu ya Mbowe na Lema.
CC; chama. Mamndenyi, THE BIG SHOW,
Halafu nyie,
Mnamkomalia Mamndenyi
Mnaogopa kuambiwa au
Kweli ndo hiyo na kwa ujumla wenu sina ligi
na wasiojitambua kama nyie. .........Naongea na mfuga mbwa
siongei na mbwa
Kinga ni ndani ya bunge sugu kampiga askari nje ya bunge haki sawa kwa wote
Afadhali yao CCM wana tafuta umarufu kwa kuuza : Madawa ya kulevya, wanyama hai, pembe za ndovu, kung'oa waandishi wa habari meno na kuwauuwa kabisa....
Kinga ni ndani ya bunge sugu kampiga askari nje ya bunge haki sawa kwa wote
Wema, vipi Diamond yupo?
Unaweza kunatajia elimu ya Mbowe na Lema.
CC; chama. Mamndenyi, THE BIG SHOW,
"ni mbumbu wa sheria pekee ndie atakaethubutu kuipeleka kesi hiyo mahakamani kwani inaingilia haki na madaraka ya bunge kikatiba" By Advocate Tundu Lissu.